MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,486
- 44,260
si kila siku mnawatukana wachaga hapa
Asante kaka ila sasa nikikufanya mfungwa.utashindwa tafuta hela utaniwaza mimi tu... kama unaweza kuwa mfungwa na ukatafuta hela hapo tunaweza kubaliana.... MAPENZI NA NJAA MI SIWEZI UKWELI..
Una hela ww? miss chagga sio bure lazma ATM isome
Asante kaka ila sasa nikikufanya mfungwa.utashindwa tafuta hela utaniwaza mimi tu... kama unaweza kuwa mfungwa na ukatafuta hela hapo tunaweza kubaliana.... MAPENZI NA NJAA MI SIWEZI UKWELI..
njoo PRIVATE tupange yetu
Hawa mamisi, miss chagga na miss neddy wanasoko kubwa eeh!!
Kijana naona umechoka kula ugali naomba kaa mbali na mke wangu miss chaga