Nampenda mchumba wa mwanajeshi

Habari wana jambo,,

Kuna dada nampenda na yeye ananipenda sana, toka tuanze mahusiano ni mwaka mmoja sasa, tunaendelea kumuibia jamaa ambaye ni mwanajeshi huko mikoani.
Mwanamke huyu ananichanganya kiasi kwamba nataka kumuacha mke wangu kwa ajili yake.

Wakati mwingine huwa nafurahi na kushukuru kuwa ofisi moja na mwanamke huyu tunayependana.

Sasa mwanajeshi wake anataka kumuoa na wiki hii kamkazania akachonge Pete na yeye hataki ananitaka mimi. Nifanyaje jamani na mie kumuacha nashindwa?
Ngoja nimwambie Poti wangu alafu uone wewe si ndio uko zile ofisi za posta karibu na sanam la askari aanza kutembea na KY
 
Habari wana jambo,,

Kuna dada nampenda na yeye ananipenda sana, toka tuanze mahusiano ni mwaka mmoja sasa, tunaendelea kumuibia jamaa ambaye ni mwanajeshi huko mikoani.
Mwanamke huyu ananichanganya kiasi kwamba nataka kumuacha mke wangu kwa ajili yake.

Wakati mwingine huwa nafurahi na kushukuru kuwa ofisi moja na mwanamke huyu tunayependana.

Sasa mwanajeshi wake anataka kumuoa na wiki hii kamkazania akachonge Pete na yeye hataki ananitaka mimi. Nifanyaje jamani na mie kumuacha nashindwa?

Tembea na KY
 
Ntumie picha
 
Humu ndani Kuna watu Wana akili ndogo Sana,
Hata kutambua mema na mabaya imekua mtihani!
 
Ebhana ngoja mwenyewe ajue aisee nakuonea huruma yani jinsi utakavyo vunjwa vunjwa we mtu wa ajabu sana.
 
Tatizo hao hawaombi mafuta ya mgando bora utabakia anakulima risasi anamlima demu na yeye anajilima mkuu utatupunguzia nguvu kazi ya taifa
 
Haina shida nilishakujua jiandae kuonga na mche wa sabuni kwa kisoda cha maji au kujaza pipa la maji kwa kisoda
 
f4669b4c02ab1cc22774c8e00d934720.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom