Nampenda mchumba wa mwanajeshi

Nampenda mchumba wa mwanajeshi

Picha lako halitabiriki. Hatma yake itajulikana pale utakapovunja uchumba wa mjeda na wakati unamke ndani, either utapigwa risasi! Au utapoteza wanawake wote
 
We kaka unachokitafuta utakipata. .. umuache mke sababu ya mistress? ? Asprin usijeniacha hubby wangu
Ntaanzia wapi kwa mfano??? Hivi ntakuwa mjinga kiasi gani niuache utamu wako???

sithubutu wallah
 
Back
Top Bottom