Nampenda mchumba wa mwanajeshi

Nampenda mchumba wa mwanajeshi

Habari wana jambo,,

Kuna dada nampenda na yeye ananipenda sana, toka tuanze mahusiano ni mwaka mmoja sasa, tunaendelea kumuibia jamaa ambaye ni mwanajeshi huko mikoani.
Mwanamke huyu ananichanganya kiasi kwamba nataka kumuacha mke wangu kwa ajili yake.

Wakati mwingine huwa nafurahi na kushukuru kuwa ofisi moja na mwanamke huyu tunayependana.

Sasa mwanajeshi wake anataka kumuoa na wiki hii kamkazania akachonge Pete na yeye hataki ananitaka mimi. Nifanyaje jamani na mie kumuacha nashindwa?
Chakuiba daima kitamu,ebu muache aolewe mwenzio apate wake umekula mara nyingi mpe mwenzio achukue jumla..
 
Huyo demu naye kigeu geu maana huku anagegedwa na mwingine alafu mwingine anataka kumuoa , kaa naye mbali huyooo atakupa ukimwi na wala usifikiri kwamba anakupenda , upendo haugawanyiki wewe angekuwa anakupenda asingepanga mipango ya ndoa na mtu mwingine, yaani watu wengine vijui kwanini wanashindwa kutumia akili kutambua mambo …
Thanks
 
Ikiwa wataka kufuata mkeo kwa yeye jee ukija ukipendwa na mwengine sio utamuacha na huyo suali langu hilo
 
Hivi huku "kupendana" kuna maana gani?

Una mke na ana mahusiano na mjeda, bado unatumia neno "kupendana"?
 
Nyakati kama hizi si za kutishana na wala si kufichana pia,wanajeshi wanaeleweka sana.Huo ndo uhalisia na wala si vitisho.
 
Nyakati kama hizi si za kutishana na wala si kufichana pia,wanajeshi wanaeleweka sana.Huo ndo uhalisia na wala si vitisho.
Umemuelewa lakini ,anadai ana mke wake na bado amependana na demu wa mjeda hauoni anambeep devil
 
Acha uzinzi ndugu yangu, hakuna mwanamke asie mtam hata mkeo ni mtam zaidi yake, huyo mchepuko sio mwamimifu amemtenda huyo mjeda wake sembuse ww. Achana nae nenda kamuonyeshe huo upendo mkeo
 
Hivi wanaume hamtoshekagi eeee. Mana una mkeo bado unatamani mchumba wa mwenzio. Iko siku na mkeo naye atapata ampendaye hapo ndio utakapojua utamu wa kula vya wenzako.
 
Umemuelewa lakini ,anadai ana mke wake na bado amependana na demu wa mjeda hauoni anambeep devil
Me nimemuelewa,nilichomaanisha ni kuwa pamoja na huo ujinga anaotaka kuufanya ajue pia hatakuwa salama na kuna asilimia kubwa akafanywa anachomfanya mke wa mjeda.
 
We boya si ushasema una mke....sasa kwa nini asiolewe naye basi ni boya......me ningekula kimya kimya tu wife asigundue
 
We na huyo demu wako wote hamnazo.
 
Back
Top Bottom