Nampenda Magufuli lakini hii yaniumiza roho

Waswahili wanasema "Heri nusu shari kuliko shari kamili." Ni heri waipate hiyo simanzi ya kubomolewa nyumba kuliko simanzi na maumivu watakayoyapata kwa kuharibikiwa mali, kupoteza ndugu , jamaa na marafiki kutokana na mafuriko.
 
Fikiria upya kisha uje uandike tena.

Maana hujui unaongea nini
 
Kuna siku ujinga utafutika katika ardhi ya tanzania. Ipo siku haki itatamalaki na dhuluma itashindwa. Naiona siku hiyo inakuja. Uchaguzi wa 2015 umeiletea tz viongozi wenye roho mbaya kwa kusingizio cha utekelezaji wa sheria. Pole wafiwa.
 
Fikiria upya kisha uje uandike tena.

Maana hujui unaongea nini
Fikiria upya kisha uje uandike tena.

Maana hujui unaongea nini

Tinta, unanidai, kwani nilikuwa nishamjibu huyu ndugu kama ulivyoandika wewe na baada ya kuona majibu yako imebidi yangu niyafute. Watu wengi hawajui hapa kinazungumzwa nini. Hatusemi kuhamishwa watu kutoka haya maeneo hatarishi ni mbaya, tunachosema huwezi kuenda kumbomolea Mtanzania mwenzio nyumba yake bila ya kujua atalala wapi! Huu uliofanyika ni unyama hata kama hawa jamaa walivamia haya maeneo. Hii ni nchi yetu sote na hatuwezi kuwadhalilisha wengine kama hivi inavyotokea.
Kama bomoabomoa inafanywa kwenye mahoteli, guest houses, etc wala sitosema kitu, lakini unapombomolea Mtanzania mwenzako nyumba anayolala yeye na watoto wake bila hata taarifa kumpa, huu ni ushenzi na unyama wa kutupwa na bwana Magufuli sijui kama ataipata kura yangu 2020 hata kama ataumaliza ufisadi nchini.
 
Kuna siku ujinga utafutika katika ardhi ya tanzania. Ipo siku haki itatamalaki na dhuluma itashindwa. Naiona siku hiyo inakuja. Uchaguzi wa 2015 umeiletea tz viongozi wenye roho mbaya kwa kusingizio cha utekelezaji wa sheria. Pole wafiwa.

Kwa niaba ya wafiwa ninapokea pole zako ndugu yangu!
Ahsante ndugu. Hivi ndivyo Watanzania tunatakiwa tuwe - tuwe tunatizamana!
Kwa kweli inauma roho sana sana sana kwa hichi kitoto kupoteza maisha kwasababu ya baridi! Hivyo Magufuli hayasikii haya????
Just imagine kama huyu ni mtoto wako, roho itakuuma vipi???
 
Bomoabomoa haina kurudi nyuma, ubinadamu na huruma ipo lakini zoezi litaendelea
Kawaida, maamuzi magumu yakifanyika huwa ni maamuzi sahihi zaidi japo huwa yana gharama yake pia.
serikali ikifanya jambo lolote whether ni jema au baya always people will have something to say.
hata wangeachwa hapa wakafa kwa mafuriko bado serikali ingelaumiwa,
Na bado mtaisoma namba tinga tinga mbele Kwa mbeleee
Hii ni kweli na laana hii itakuja kutupata sote na sio Magufuli peke yake. kwasababu likitokea balaa siku zote huwa halichaguwi!
na ndio chaguo Lao milele..acha waisome namba.
inasikitisha sana.....lakini kwa nini kila kitu tunamlaumu magufuli???
Waswahili wanasema "Heri nusu shari kuliko shari kamili." Ni heri waipate hiyo simanzi ya kubomolewa nyumba kuliko simanzi na maumivu watakayoyapata kwa kuharibikiwa mali, kupoteza ndugu , jamaa na marafiki kutokana na mafuriko.
Serikali imekusanya kodi kwa miaka mingi baada ya kuona wapinzani wamechukua jiji sasa ndiyo wakona mi muda wa kuvunja
 
Asante Jk kuingilia kati ukatili huu, tutakukumbuka kwa huruma na ubinadamu wako juu ya watanzania wenzako
 
Kwa kweli nami hili sikubaliani nalo kabisa. Serekali ingeandaa utaratibu wa kuwejengea shelter au nyumba za gharama nafuu. Hapa sasa Wapinzani waonyeshe utu wao si kwa maneno bali kwa vitendo. Kwa mfano Waheshimiwa wabunge wa UKAWA wajitolee Posho zao kama kianzio cha kuwajengea shelter wananchi hawa.
 
Tinta, unanidai, kwani nilikuwa nishamjibu huyu ndugu kama ulivyoandika wewe na baada ya kuona majibu yako imebidi yangu niyafute. Watu wengi hawajui hapa kinazungumzwa nini. Hatusemi kuhamishwa watu kutoka haya maeneo hatarishi ni mbaya, tunachosema huwezi kuenda kumbomolea Mtanzania mwenzio nyumba yake bila ya kujua atalala wapi! Huu uliofanyika ni unyama hata kama hawa jamaa walivamia haya maeneo. Hii ni nchi yetu sote na hatuwezi kuwadhalilisha wengine kama hivi inavyotokea.
Kama bomoabomoa inafanywa kwenye mahoteli, guest houses, etc wala sitosema kitu, lakini unapombomolea Mtanzania mwenzako nyumba anayolala yeye na watoto wake bila hata taarifa kumpa, huu ni ushenzi na unyama wa kutupwa na bwana Magufuli sijui kama ataipata kura yangu 2020 hata kama ataumaliza ufisadi nchini.
Baada ya kuona hii comment yako nikagundua una unafiki ndani yako na hiyo huruma yako imekaa kinafiki...kwasababu unaona ni bora watanzania wenzako wenye magesti na mahoteli kubomolewa miradi yao ila waliovamia mabondeni unaona ni uonevu...ndugu yangu acha double standards kama kweli unapinga bomoabomoa basi ipinge kote..sio unaona matajiri wakibomolewa ni sawa ila maskini inakua uonevu wakat wote wanakua wamevunja sheria.
 
Serikali imekusanya kodi kwa miaka mingi baada ya kuona wapinzani wamechukua jiji sasa ndiyo wakona mi muda wa kuvunja
hapana mkuu rejea takwimu za ukuaji wa jiji la dar na 70% wanaishi kwenye makazi yasio rasmi,kuliko kuja kupigizana kelele huko mbele bora wabomoe sasa hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom