Hii inaitwa catch 22. Watu tunapenda mazingira yawe safi na usalama wa watu uzingatiwe. Lakini ukiangalia hii kwa kweli moyo unauma. Tukibanana na wale wakwepa kodi tu kidogo au makampuni ya madini na simu hawa watu hawatalala nje. Inatia huruma. Mungu awape nguvu watu hawa.
Cc wenyewe tumebomolewa na b mkubwa kindakindaki chamoto tunakiona lkn wamemta wenyewe Tinga tinga mbele Kwa mbelee
Bomoabomoa haina kurudi nyuma, ubinadamu na huruma ipo lakini zoezi litaendelea
na ndio chaguo Lao milele..acha waisome namba.mlimchagua wenyewe...shut up,mnadhani sisi ni wajinga kuikataa ccm?