Nampenda ,lakini wivu wake ni balaaa

enzi za ujana niliwahi kua na kituko cha aina hii, mpaka alidirika kuniambia eti kabila letu hatuna cha undugu. nilimbwaga mapema kabla ya saa 12 jioni. alibaki mdomo wazi maana hakuamini nilipomwambia its over na nimeshindwa sababu ya mivivu isiyokua na afya.
 
Hakuna kitu kibaya kama kutojiamini. Naona huyo mwenzio hajiamini kuwa wewe waweza kumpenda jinsi alivyo; hivyo anakuwa na constant wasiwasi kuwa labda una mwingine na kwamba unakuwa naye bythe way.

Sasa waweza boost confidence yake kwa kumsifia na kumuonesha kwa both Maneno na Vitendo kuwa you are the luckiest person in the whole world kumpata a great n extra ordinaly mpenzi like him.

Ukisema mara nyingi na kuonesha kwa Vitendo ataamini na atapunguza wivu!
 
enzi za ujana niliwahi kua na kituko cha aina hii, mpaka alidirika kuniambia eti kabila letu hatuna cha undugu. nilimbwaga mapema kabla ya saa 12 jioni. alibaki mdomo wazi maana hakuamini nilipomwambia its over na nimeshindwa sababu ya mivivu isiyokua na afya.

I know, nimepitia huko n trust me inachefua!
 
kweli hapo iko kazi,wivu ukizidi ni chanzo cha ugomvi mwingi kwenye uhusiano.ongea nae taratibu pia onyesha upendo wa juu pia kwake inawezekana hajiamin.
 
mtambuzi atakusaidia, kuna wanaume wafujaji, mwisho wa siku atakupangia nani awe rafiki yako nani asiwe, hata familia yako atakwambia usiwasiliane nao...
 
unajua mtu ambaye yupo hivi hakupendi bali anapenda kumiliki demu.
kabla ya ueye kuingia maishani mwako wewe ulikuwa na mahusiano na ndugu marafiki wakiume na wakike hivyo akupendaye lazima aheshimu mahusiano ambayo unayo na hao watu....he doest have to like all of them but must show respect and acknowledge their existence
 
Jamani tunazungumza upande mmoja tu, vp huyo bibie yeye hana neno akiona mwenzie ana marafiki wa jinsia tofauti? isije kuwa mzani umeegemea upande mmoja... niliwahi kuwa na kipusa fulani, chenyewe marafiki wa kiume simu mpaka saba usiku, asilimia sabini ya hao ni meseji za kumtaka na kumwambia njoo huku na kule, mara kesho utakuja kule kwa jana dear... na mambo kama hayo.. ila yeye akikuta msichana kwa bahati mbaya kaandika "nice pic" kwenye picha yangu yoyote ya facebuk siku hiyo hali wala naniliu hanipi.... mi nachosema kama ngoma ni droo poa ila vinginevyo utaua bendi....
na mara nyingi utakuta mtu akuwa na wivu wa namna hiyo basi kuna mahali fulani amewahi kubamba vitu visivyoeleweka kwa mmoja wa hao ambao wewe unaowaita marafiki... una hakika urafiki wenu ni wa kawaida? if yes prove it kwake kwa upole na unyenyeku, kama ni marafiki wa kweli nothing to hide... but hii ni kama mna future pamoja
 
hataki,nipigiwe simu na rafiki yeyote wa kiume awe class mate,work mates,school mates,my homme friends...oooh! ushauri nifanyeje,vile anatamani hata mail zangu zote asome kama kuna mwamume hapo...ila nampenda wivu wake kero kero....naye anipenda sana sana...

Tatizo ni hilo "friend"! Kwani na yeye si fulani friend? Hataki kuchanganya. Au hata kaka yako, binamu yako, shemegi yako pia hataki wakupigie simu?
 
Haya mambo ya classmate oh discussion mkate hayafai.niliibiwa mzigo wangu kwa gia hiyo hiyo
 
mtambuzi atakusaidia, kuna wanaume wafujaji, mwisho wa siku atakupangia nani awe rafiki yako nani asiwe, hata familia yako atakwambia usiwasiliane nao...
Tena uwe Makin sana na huyo!anawezakua anakuharibia,na kukupotezea muda mwisho wa Cku akijakumwaga utabak huna ndgu.ila km una Future nae mvumilie ila mzoeshe utan ambao utampunguzia Wivu
 
hilo ni tatizo na yawezekana kuna mambo anaficha kupitia wivu.
 
enzi za ujana niliwahi kua na kituko cha aina hii, mpaka alidirika kuniambia eti kabila letu hatuna cha undugu. nilimbwaga mapema kabla ya saa 12 jioni. alibaki mdomo wazi maana hakuamini nilipomwambia its over na nimeshindwa sababu ya mivivu isiyokua na afya.

unaonesha km una mapenzi ya kupretend ww
 
Sasa wewe marafiki unachat nao wa nini..... shikamana dada wanaume siku hizi kupata wa hivyo ni vigumu.
Alafu sijui mpewe nini mkipendwa shida msipopendwa shida... kwa kweli nyie ni viumbe wa ajabu kabisa.
Ndoo maana tunaishiaga baa na kurudi chakari usiku wa manane kwa ajili hamridhiki nyie hata mbebwe...
Kudadadadadadadada...deki
 
Hehehehe mkuu hapo umenifurahisha kweli... tuko wengi.. mimi nilimpeleka mwenyewe kwenda kupigwa bao.
niliganda nje kama lisaa na nusu hivi... basi nikasema ebu ngoja nikachungulie kile kichochoro aliko ingia ile nafika tu nakuta jamaa kavaa pensi na vest anamhug & kiss byebye akijua mimi bado niko kwenye gari barabarani.
Dah... kwa kweli inauma sana.
 
Back
Top Bottom