Nampenda lakini naogopa kumwambia!

Wakuu hbr zenu!

Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.

Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.

Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.
Asante kwa kunipenda lakini na mke...
 
Moniccca!
Naona unataka kuwapa vijana hangaiko la kihisia kwa kudhani kuwa huyo uliyemwagia sifa hapa na ambaye umeridhia kumkabidhi moyo wako anaweza kuwa yeye.
Ila kiukweli hii post itasaidia kupunguza watukanaji humu...
 
Wakuu hbr zenu!

Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.

Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.

Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.
Anatumia jina gani Humu jf! Funguka
 
Hivi kumbe mnajuana humu ndani miye simjui yeyote humu ndani. Mpaka penzi linazaliwa kwa kweli hongereni.
 
Back
Top Bottom