Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,666
- Thread starter
-
- #81
That phase of my life is over...and a brighter future is ahead of me!ukiongea hivi najiskia vibaya zaidi......some people give us the reason to hate others
najishanga nimeumia sana ndani ya moyo wangu for real
umetoka kifungoni........U deserve that ban for sure
Yap!
Ni kweli kabisa!
Mwenyewe nilijua nitapata ban!
Nakumbuka kuna siku uliniambia mi nnahasira sana!!! Mh! May be! Kwa mtu anaenikera MAKUSUDI!
Yule jamaa alinitusi!
...
Hem niambie, na yeye alifungiwa?
That phase of my life is over...and a brighter future is ahead of me!
niliona tu pale....unapanick haraka sana
na ban ulijua tu utakuwa nalo ndio maana ulianza na kusema
ye nilimuona free sa sikufatilia ka kifungo kilimpitia ama
ok maana nimeumiaje? unaendeleaje lakini? u deserve the best my dearest!Pacha huu uzi wa tangia mwaka jana...tushaachana na huyu mtu nimeshindwa!
nipo poa mpenzi thnx for asking!ok maana nimeumiaje? unaendeleaje lakini? u deserve the best my dearest!
Pole jamani mydia, unavyoandika ni kama nakuona machozi yanalengalenga kwa uchungu na hasira, sisi wanaume ni wabaya sana wakati mwingine. Mungu atusameheukiongea hivi najiskia vibaya zaidi......some people give us the reason to hate others
najishanga nimeumia sana ndani ya moyo wangu for real
That phase of my life is over...and a brighter future is ahead of me!
Tusiishie kupenda kwamoyo tu bali 2pende na kwa akili pia.
Nimeshaongea nae sana lakini habadiliki nimeshaongea na watu wake wakaribu Pia wakaongea nae lkn bado hali ni ileile.Najua miaka minne ni mingi na tunafahamiana vizuri usemavyo ni kweli Ila nafeel we r nt meant to be together ndio maana hatuendani na ndio maana hajali!na ana ile tabia ya kununa,nikimkera mimi atanuna nimbembelezee weeee lakini akinikera mimi Pia atanuna yeye na niombe msamaha mm wala hajali yaani kama nimekerekwa mimi!!
ukiongea hivi najiskia vibaya zaidi......some people give us the reason to hate others
najishanga nimeumia sana ndani ya moyo wangu for real
Pole jamani mydia, unavyoandika ni kama nakuona machozi yanalengalenga kwa uchungu na hasira, sisi wanaume ni wabaya sana wakati mwingine. Mungu atusamehe
Ahsante!!Hapana simpendi tena...kanitoka moyoni...nina ila moja nikipenda napenda kwa dhati na nikikuchukia ujue ndo byebye no way back...kila nikikaa na kufikiria nafikiri maumivu tu alonipatia...kwenye mapenzi lazima kuwe na happy moments zaidi kuliko bad moments!kiasi cha kwamba hata ukiumizwa una kitu chakukufariji!!lakini kwa upande wangu mimi the misery overpowered it all so ITS DONE!Na sijutii hata alikuwa akinizibia riziki zangu tu!Pole sana #mimi49 i can feel what your passing through neno langu ni mmoja tu
Kama kweli unampenda mchukulie alivyo na uendelee kumpenda, ikiwa utaona huwezi achana nae maana anachokupa hata mimi naweza kukupatia......
Bora wewe umeongea ukweli, hata sijui mna mdudu gani.