Wanawake Mungu tuongee huruma.
1: mwanaume anaekupenda hawezi kumaliza Siku mzima bila kukutafuta, SMS or call ikitokea Siku ikapita basi next day atakwambia why.
2: huyo mshenzy hakupendi ana mwanamke mwingine wewe kakupeka spare tire, akiachwa aje kwako.
3: kwa nini ulikubali kupata mimba kwa MTU kama huyo? Hii itakukost sana hata kama ilitoka.
4: ruhusu mwanaume mwingine atakae jua thamani yako.
5: kuna mwanaume ambae atakupenda atakupa priority kwa kila kitu, asubuhi,mapema gudmorning Darling,? I miss u, I love u, oh baby I miss u soo much, next weekend take a flight come and see me[emoji23][emoji173][emoji179] [emoji23][emoji23]and tell me how much[emoji23] afu spendi unavyokosa hewani ujue? Mm Niko busy ila napokutafuta sitaki kabisa ukose hewani.
Ahaaaa huyo ndio mwanaume utakae mpaka themaaa amina