Nampenda ila simuelewi

Binti wahenga walipata kunena kuwa "matendo hukidhi maridhawa kuliko maneno"

Iko hivi, hiyo formula anayotumia mimi nilishaitumia sana enzi za ujana wangu, kwamba kwakua mahusiano yetu yanahusisha mpaka watu wa family basi sitokwambia sikutaki ili nisijekubeba lawama za familia, nataka tuachane automatic tu bila matamko officially.

Iko hivi, huyu Kijana wako anampenzi mwengine ambaye anampenda sana ila tatizo tayari na wewe ushakua nae..

Ngoja nikwambie, mimi sijawahi kumwambia mwanamke yeyote ambaye sitaki kuendelea kuwa nae kwenye mahusiano "TUACHANE". .Yaani sinaga confidance kabisa, ila ilikua nikitaka tuachane nakaa tu kimya, ikitokea umenibananisha tukawasiliana nakwambia nakupenda sana, hakuna kama wewe ila ukweli sikupendi na nitakaa hivyo mpaka wewe unakasirika na kujikuta unaamua kuniacha so nakua nimeepuka lawama, sasa huyu jamaa yako naona amefanana sana na kaliba yangu enzi hizo kabla sijaoa.

So jiongeze tu, hapo hamna UPENDO tena binti yangu, hata kukwambia ukatafute experience kwa mwengine ni namna ya kutaka tu kukufanya uende kule unogewe au apate sababu halali, HAKUNA mwanaume anayempenda mwanamke wake atayaruhusu eti "Akapate exprience" kwa mwanaume mwengine..

Pole sana bibie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi soma hapa!...,
 
Habari zenu wana jf,kama hapo juu panavyosomeka,Nilianza naye mahusiano mwaka 2017,tumekuwa wote kwa mwaka na miezi kadhaa
Mwaka jana mwenzi wa 10 nilipata mimba na wakati huo hatukuwa kwny mahusiano mazuri,lakini tuliongea akasema kwamba tupo wote sababu ya mimba,nilipata stress sana sababu sipendi nije kuwa na watoto wa baba tofauti,stress ambazo kwa kiasi kikubwa zilipelekea nikapata miscarriage, kipindi chote cha mimba mpka miscarriage alikuwa ananisupport kwa asilimi kubwa na pia upendo baina yetu uliongezeka kiasi fulani japo siwezi jua kama upendo wake ulikuwa unamaanisha,baada ya mimba kuharibika nikarudi nyumbani Mkoani kwa family issues,
Wiki ya mbili za mwanzo toka nije mkoani mawasiliano yalikuwa mazuri tu,wiki ya tatu baadaye mawasiliano yakapungu nisipomtafuta hanitafuti na akinitafuta ananilaumu kwanini simtafuti,na mimi kama binadamu sikupenda nikamwambia tu kwamba ww unataka utafutwe tu na unajitia busy,tuligombana sana baada kama ya siku mbili akaniambia kwakuwa siku za wiki yuko busy then tutafutane weekend atatenga mda kwa ajili yangu sikutaka kubishana naye,weekend ikifika bado anakuwa busy nikamwambia kama huwezi kunipa mda hata weekend basi unitafute ukijisikia akasema nampangia,yeye ashasema atanitafuta weekend,sikutaka kubishana naye nikamwambia tu kwny mahusiano mawasiliano ni jambo la kwanza hasa ukizingatia mimi na wewe tuko basi ikiwa kama nimeanzisha ugomvi tukagombana sana,mpka akaniambia kwamba ananipa ruhusa niwe na mwanaume mwngne ili tu nione kama mahusiano yapo kama nnavyodhani nayeye nafasi yake nimuachie palepale anataka tu nipate experience,
Kiukweli nampenda sana lakini kwa hii kauli yake nipo njia panda nahisi hata upendo wangu kwake unapungua kila siku na sitaki kumpoteza ni mtu ambaye amenifundisha mambo mengi na anamchango mkubwa kwenye maisha yangu ukitoa familia marafiki,
Jamani nifanyeje ili huu usiano uendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo umependa lakini hujapendwa so jifunze kusahau na kuanza upya.let the guy be!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza pole na matizo, pili kumbuka sisi wanaume tuna hali ya kuwakifu wanawake kwa kiasi flan pale unapokuwa nae kwa mda tena hasa linapokuja suala la kujua kuw mwanamke ananipenda kwa % kubwa, nakushauri uwe mvumilivu ili baadae uje ufumbuz wa jambo lako.. kingine kujionyesha ni mdhaifu kwa mwanaume kuwa unampenda ni sawa na kujiandalia siraha ambayo baadae itakuja kukuripua mwenyew, naww jifanye upo busy na kutokuwa serious nae ili ajue hautishik sana kwa ukimy wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Zingatia alichokisema Bulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani ungevaa viatu vyangu ungejua sababu kila nikitaka kumove on inashindikana yeye hata mkigombana mwishoni atakwambia nakuhitaji sitaki nikupotezee,sijui hata nikuelezaje but inachosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kudate na mwanaume mmoja yuko kama huyo, akikutafta asubuh imetoka mpaka jioni tena saa zingine umuanze ww hapa kati ukimcheki anajibu short nipe lksaa nipe nusu saa and all that nakiri nilimpebda sana sana lakini matendo yake yalinichosha ni kama wako, akiwa na watu pembeni anadai ananipenda, mwenyewe anambiakama wewe uambiwavyo, ni kiasi cha kuchukua maamuzi tu, anashindwa kukuambia sikutaki jiongeze girl! Huhitaji hata kupapasa amua sasa kila jambo linawezekana hasa ukiamua kwa dhati, kuachana na mtu ambae moyo wako bado umemhifadhia nafasi inauma ila huwez kulazimisha hisia wala mtu akupende unavyotaka, kubali kumove on

Nilijiambia hivi mpaka lini? Mapenzi haya mpaka wapi nikasema enough, na nikaweza kwa nn wewe ushindwe? Utakuja kumpata mwanaume mwengine hii energy unayoipoteza kwake itarudi utapata tu chaguo lako huyo kubali sio uliepangiwa nae
 
Hakupendi huyo ebu angalia ustaarabu mwingine inauma sana lakini utakuja msahau tu sijui mijanaume ya hivi ipoje kutesa mioyo ya wengine pole mwaya
 
Hiv unampendaje mtu ambye humwelew?? Smh 🤦‍♂️

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom