Nampenda ila simuelewi

Nampenda ila simuelewi

teelyz

Member
Joined
Nov 14, 2018
Posts
45
Reaction score
44
Habari za jioni wa jf,kwakweli wengi mmetoa ushauri wenu japo wengine mmetumia maneno makali pamoja na yote ujumbe umefika,Asanten wote mlioguswa Mungu awabariki nawapenda.
kiukweli leo nimeitumia sana kujitafakari mpka nikapata majibu kumbe mimi pia nina umuhimu na hisia zangu zinaumuhimu,
The only thing i can say *** love I'm moving on,
NB:
Kama umewahi kuniumiza na bado nazungumza na wewe usiniamini.
 
Habari zenu wana jf,kama hapo juu panavyosomeka,Nilianza naye mahusiano mwaka 2017,tumekuwa wote kwa mwaka na miezi kadhaa
Mwaka jana mwenzi wa 10 nilipata mimba na wakati huo hatukuwa kwny mahusiano mazuri,lakini tuliongea akasema kwamba tupo wote sababu ya mimba,nilipata stress sana sababu sipendi nije kuwa na watoto wa baba tofauti,stress ambazo kwa kiasi kikubwa zilipelekea nikapata miscarriage, kipindi chote cha mimba mpka miscarriage alikuwa ananisupport kwa asilimi kubwa na pia upendo baina yetu uliongezeka kiasi fulani japo siwezi jua kama upendo wake ulikuwa unamaanisha,baada ya mimba kuharibika nikarudi nyumbani Mkoani kwa family issues,
Wiki ya mbili za mwanzo toka nije mkoani mawasiliano yalikuwa mazuri tu,wiki ya tatu baadaye mawasiliano yakapungu nisipomtafuta hanitafuti na akinitafuta ananilaumu kwanini simtafuti,na mimi kama binadamu sikupenda nikamwambia tu kwamba ww unataka utafutwe tu na unajitia busy,tuligombana sana baada kama ya siku mbili akaniambia kwakuwa siku za wiki yuko busy then tutafutane weekend atatenga mda kwa ajili yangu sikutaka kubishana naye,weekend ikifika bado anakuwa busy nikamwambia kama huwezi kunipa mda hata weekend basi unitafute ukijisikia akasema nampangia,yeye ashasema atanitafuta weekend,sikutaka kubishana naye nikamwambia tu kwny mahusiano mawasiliano ni jambo la kwanza hasa ukizingatia mimi na wewe tuko basi ikiwa kama nimeanzisha ugomvi tukagombana sana,mpka akaniambia kwamba ananipa ruhusa niwe na mwanaume mwngne ili tu nione kama mahusiano yapo kama nnavyodhani nayeye nafasi yake nimuachie palepale anataka tu nipate experience,
Kiukweli nampenda sana lakini kwa hii kauli yake nipo njia panda nahisi hata upendo wangu kwake unapungua kila siku na sitaki kumpoteza ni mtu ambaye amenifundisha mambo mengi na anamchango mkubwa kwenye maisha yangu ukitoa familia marafiki,
Jamani nifanyeje ili huu usiano uendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza pole na matizo, pili kumbuka sisi wanaume tuna hali ya kuwakifu wanawake kwa kiasi flan pale unapokuwa nae kwa mda tena hasa linapokuja suala la kujua kuw mwanamke ananipenda kwa % kubwa, nakushauri uwe mvumilivu ili baadae uje ufumbuz wa jambo lako.. kingine kujionyesha ni mdhaifu kwa mwanaume kuwa unampenda ni sawa na kujiandalia siraha ambayo baadae itakuja kukuripua mwenyew, naww jifanye upo busy na kutokuwa serious nae ili ajue hautishik sana kwa ukimy wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, ila kwa ulichoandika hapo juu huyo mwanaume hakupendi tena, na ukilazimisha kuwa naye basi kaa ukijua utalia siku zote.

Najua inaweza ikawa ngumu kuelewa, ila ulivyoandika ni wazi kabisa hakupendi na anakuona kama mzigo kwake ambao hajui aupeleke wapi.

Jiandae kisaikolojia Ku move on.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
pengne huwez jua lkn cc wanadam tukijua unapendwa ndo sehem ya kulipza kisasi kama ulishaga wah kuumizwa huko nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pengne huwez jua lkn cc wanadam tukijua unapendwa ndo sehem ya kulipza kisasi kama ulishaga wah kuumizwa huko nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app

Lakini**
Cc=sisi**
Ndo=ndiyo**
Ulishaga= ulishawahi

Unaweza kuwa na point ila jaribu kuandika vizuri.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Habari zenu wana jf,kama hapo juu panavyosomeka,Nilianza naye mahusiano mwaka 2017,tumekuwa wote kwa mwaka na miezi kadhaa
Mwaka jana mwenzi wa 10 nilipata mimba na wakati huo hatukuwa kwny mahusiano mazuri,lakini tuliongea akasema kwamba tupo wote sababu ya mimba,nilipata stress sana sababu sipendi nije kuwa na watoto wa baba tofauti,stress ambazo kwa kiasi kikubwa zilipelekea nikapata miscarriage, kipindi chote cha mimba mpka miscarriage alikuwa ananisupport kwa asilimi kubwa na pia upendo baina yetu uliongezeka kiasi fulani japo siwezi jua kama upendo wake ulikuwa unamaanisha,baada ya mimba kuharibika nikarudi nyumbani Mkoani kwa family issues,
Wiki ya mbili za mwanzo toka nije mkoani mawasiliano yalikuwa mazuri tu,wiki ya tatu baadaye mawasiliano yakapungu nisipomtafuta hanitafuti na akinitafuta ananilaumu kwanini simtafuti,na mimi kama binadamu sikupenda nikamwambia tu kwamba ww unataka utafutwe tu na unajitia busy,tuligombana sana baada kama ya siku mbili akaniambia kwakuwa siku za wiki yuko busy then tutafutane weekend atatenga mda kwa ajili yangu sikutaka kubishana naye,weekend ikifika bado anakuwa busy nikamwambia kama huwezi kunipa mda hata weekend basi unitafute ukijisikia akasema nampangia,yeye ashasema atanitafuta weekend,sikutaka kubishana naye nikamwambia tu kwny mahusiano mawasiliano ni jambo la kwanza hasa ukizingatia mimi na wewe tuko basi ikiwa kama nimeanzisha ugomvi tukagombana sana,mpka akaniambia kwamba ananipa ruhusa niwe na mwanaume mwngne ili tu nione kama mahusiano yapo kama nnavyodhani nayeye nafasi yake nimuachie palepale anataka tu nipate experience,
Kiukweli nampenda sana lakini kwa hii kauli yake nipo njia panda nahisi hata upendo wangu kwake unapungua kila siku na sitaki kumpoteza ni mtu ambaye amenifundisha mambo mengi na anamchango mkubwa kwenye maisha yangu ukitoa familia marafiki,
Jamani nifanyeje ili huu usiano uendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuomba uje PM siku nyingi hujaja, ona sasa yanayokukuta? Unweza kuwa demu wangu ujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipi usichokielewa na mambo ya wazi?

Hutakiwi, wewe ndio unafos mtu aishi njia yako wakat kwako alishatoka zamani

My dear hebu live your life, yes unampenda lakini jaribu kusoma vitendo, na mapenzi yako kwake yasikutie upofu ukaacha kuona mbele,

Jus give him a taste of his own medicine, play it cool, fanya akufanyiavyo halaf zoea hiyo hali utaona maisha yalivyo matam nje ya kua kwenye mahusiano yasiyo na afya

Muoneshe pamoja na kwamba unampenda unaweza kuishi bila na yeye na kamwe furaha yako isitegemee mtu mwengine

Hilo nalo litapita.
 
Habari zenu wana jf,kama hapo juu panavyosomeka,Nilianza naye mahusiano mwaka 2017,tumekuwa wote kwa mwaka na miezi kadhaa
Mwaka jana mwenzi wa 10 nilipata mimba na wakati huo hatukuwa kwny mahusiano mazuri,lakini tuliongea akasema kwamba tupo wote sababu ya mimba,nilipata stress sana sababu sipendi nije kuwa na watoto wa baba tofauti,stress ambazo kwa kiasi kikubwa zilipelekea nikapata miscarriage, kipindi chote cha mimba mpka miscarriage alikuwa ananisupport kwa asilimi kubwa na pia upendo baina yetu uliongezeka kiasi fulani japo siwezi jua kama upendo wake ulikuwa unamaanisha,baada ya mimba kuharibika nikarudi nyumbani Mkoani kwa family issues,
Wiki ya mbili za mwanzo toka nije mkoani mawasiliano yalikuwa mazuri tu,wiki ya tatu baadaye mawasiliano yakapungu nisipomtafuta hanitafuti na akinitafuta ananilaumu kwanini simtafuti,na mimi kama binadamu sikupenda nikamwambia tu kwamba ww unataka utafutwe tu na unajitia busy,tuligombana sana baada kama ya siku mbili akaniambia kwakuwa siku za wiki yuko busy then tutafutane weekend atatenga mda kwa ajili yangu sikutaka kubishana naye,weekend ikifika bado anakuwa busy nikamwambia kama huwezi kunipa mda hata weekend basi unitafute ukijisikia akasema nampangia,yeye ashasema atanitafuta weekend,sikutaka kubishana naye nikamwambia tu kwny mahusiano mawasiliano ni jambo la kwanza hasa ukizingatia mimi na wewe tuko basi ikiwa kama nimeanzisha ugomvi tukagombana sana,mpka akaniambia kwamba ananipa ruhusa niwe na mwanaume mwngne ili tu nione kama mahusiano yapo kama nnavyodhani nayeye nafasi yake nimuachie palepale anataka tu nipate experience,
Kiukweli nampenda sana lakini kwa hii kauli yake nipo njia panda nahisi hata upendo wangu kwake unapungua kila siku na sitaki kumpoteza ni mtu ambaye amenifundisha mambo mengi na anamchango mkubwa kwenye maisha yangu ukitoa familia marafiki,
Jamani nifanyeje ili huu usiano uendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mahusiano ya kimapenzi ya hivyo.....soma ramani vizuri mdogo wangu hamuwezi kuwa kwenye mahusiano mtu akose muda wa kuongea na mwenza eti yuko bize hadi kitandani anapokwenda kulala??? Usubiri muwasliane wkend.....hiyo haipo
 
Yani ungevaa viatu vyangu ungejua sababu kila nikitaka kumove on inashindikana yeye hata mkigombana mwishoni atakwambia nakuhitaji sitaki nikupotezee,sijui hata nikuelezaje but inachosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Binti wahenga walipata kunena kuwa "matendo hukidhi maridhawa kuliko maneno"

Iko hivi, hiyo formula anayotumia mimi nilishaitumia sana enzi za ujana wangu, kwamba kwakua mahusiano yetu yanahusisha mpaka watu wa family basi sitokwambia sikutaki ili nisijekubeba lawama za familia, nataka tuachane automatic tu bila matamko officially.

Iko hivi, huyu Kijana wako anampenzi mwengine ambaye anampenda sana ila tatizo tayari na wewe ushakua nae..

Ngoja nikwambie, mimi sijawahi kumwambia mwanamke yeyote ambaye sitaki kuendelea kuwa nae kwenye mahusiano "TUACHANE". .Yaani sinaga confidance kabisa, ila ilikua nikitaka tuachane nakaa tu kimya, ikitokea umenibananisha tukawasiliana nakwambia nakupenda sana, hakuna kama wewe ila ukweli sikupendi na nitakaa hivyo mpaka wewe unakasirika na kujikuta unaamua kuniacha so nakua nimeepuka lawama, sasa huyu jamaa yako naona amefanana sana na kaliba yangu enzi hizo kabla sijaoa.

So jiongeze tu, hapo hamna UPENDO tena binti yangu, hata kukwambia ukatafute experience kwa mwengine ni namna ya kutaka tu kukufanya uende kule unogewe au apate sababu halali, HAKUNA mwanaume anayempenda mwanamke wake atayaruhusu eti "Akapate exprience" kwa mwanaume mwengine..

Pole sana bibie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom