Nampenda ila hanielewi.....

Nampenda ila hanielewi.....

Unampendaje mtu ????? M naonaga mapenz n ktu cha kufikirika 2uuu akina uhalisia wowote
 
Habari wakuu....

Huyu dada amekuwa rafiki yangu kwa kipindi cha muda mrefu huku tukijaribu kusaidiana kwa vitu vingi na urafiki wetu ulikuwa kama Tupo kwa mahusiano jambo la kunishangaza muda si mfupi mimejaribu kumwambia ukweli ya kuwa nampenda ameshindwa kunielewa hata na kunipa sababu zake....

Wakuu naombeni ushauri nifanya nini ili aweze kunielewa kwa kuwa nimetokea kuvutiwa nae sana sana
Umekosea namna ya kumuaproach,na Sasa hivi naona mmeshaanza kuogopana Kuna mambo Fulani ya kufanya nitakuelekeza baadae.
 
Back
Top Bottom