Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Last edited by a moderator:
Yeah, am enjoying this! ila bado nakupenda ingawaje nilikuacha hadharani! si unakumbuka hata nikakupa cheo kwenye mapinduzi yetu yale na Nivea, is becoz of love!
pole sana UNDENIABLE ulikuwa unabeep fire sasa nyumba imeungua
Yeah, am enjoying this! ila bado nakupenda ingawaje nilikuacha hadharani! si unakumbuka hata nikakupa cheo kwenye mapinduzi yetu yale na Nivea, is becoz of love!
Can you note this plz!
pole sana UNDENIABLE ulikuwa unabeep fire sasa nyumba imeungua
mumeo nae ni sitaki nataka
my wii hapa I mean what i say.....
focus yangu si unaijua lakin!!!siri yako plz
be serious mwenzio!!niko serious mwenzio
be serious mwenzio!!
Mkubwa! habari za chaina?
naijua my wii nami nimefunga konya ili usibadilishe mawazo
haya bana kwa heri ya kuonana!!
Lady doctor,wapi Ben Saanane we lalia siasa za Themi mkeo anaolewa huku..!
Lady doctor,
Ha ha haa, huyo kiplagati26 atakiona cha mtemakuni.akitaka kujua kilichompata Chimbuvu amuulize Baba V.Sina mchezo
Madame B, naona huyu mjeshi wa kona Bar amerudi na mapepo yake tena.