Maamuzi makubwa sana haya..
kuna sehemu unataka kupiga deal? hizo hidden focus ni tata
mi nampenda Heaven on earth ila ndo hivo keshawahiwa ngoja nianze kumsaka Mrembo by Nature
kiwatengu kakosa kadogo akanifanyia vileJino kwa jino! umemwaga dah we mkaali!
nilikwepo ila wiki iliyopita nilikuwa busy sana.
nilikwepo ila wiki iliyopita nilikuwa busy sana.
we single kweli au unataka nitolewe manundu bure.
FirstLady1 mbona hujamtajaMie nampenda huyu mwanaume naomba mkamwambie ..
wow sound so lovely, come closer i'm already here for you!:smile-big:hamna hata wa kukutoa manundu!!!
nilikutafuta,i was down i needed a shoulder
to lean on too bad you were not there!!!!!
Mie nampenda huyu mwanaume naomba mkamwambie ..
Nani? Nyani Ngabu kama sikosei...
kiwatengu kakosa kadogo akanifanyia vile
nimeshamtumia UNDENIABLE note ya final goodbye....
Nilimpenda,ila kwa sasa the nature is sugesting somthing else