Yaani kiukweli apo utakua unatafuta ugomvi coz she is mine so try kuwa na heshima. I think atakwambia yote
Nitumie vocha nikusemee. Ni best yangu.
karibu sana jijini kwa mara nyingine
pia pole kwa majukumu!!
wameendana na Nassari waoane
......kivipi? acha uoga mkuu!!Ndugu,huoni aibu?
.....mahabuba wangu mzima jamani! unajua napenda nikusalimie kila wakati as if hatujaonana, maana kila dakika moja nikiwa mbali nawe inanigharimu sana! love you sana tena sana tena sana! jamani acha nile rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....!!!!!!aone aibu ya nini........?
mbona kuna mengi ya kuonea aibu dunian na si hili
Mimi nampenda Jennifer Lopez.
Mimi pia nampenda sana ms Mdee