snakepoison
Member
- May 23, 2013
- 8
- 0
unamtafutia wapi wakati yupo dom? nenda kule na usimame karibu na lango kuu la kuingilia mjengoni, utamuona na umwambie yanayokusibu. we mwanaume bana hacha woga!!
Watu mnaona mbali sana
Mi nampendaga Mama salma tu,nasubiri jamaa amteme
Upo tayari kwenda jela wewe na ukoo Wako???!! Haya endelea!!!!
Na jiwe liko hapa soon arusha... nakuja kutangaza.... nia
hope uko poa
ayaaaaaa!!swahiba upo
mi niko poa kabisa!!za kupoteana?
Upo tayari kwenda jela wewe na ukoo Wako???!! Haya endelea!!!!
Mario baroteli.
Mi nampendaga Mama salma tu,nasubiri jamaa amteme
duh!umenivunja mbavu,wanaweza kujikuta ICC UKOO MZIMA EEH!
Wewe jinsia yako ni gani? Kama ya Esther Bulaya?
Huogopi lile. Bass?anatisha maana amekaa kidume dume shauri yako!
Endelea kumpenda kwa moyo wako wote.