mwenzio kapita JKT
ndo penyewe hapo sasa makoyo
mwenzio kapita JKT
ndo penyewe hapo sasa makoyo
tueshimian jamaa.mi ni dume la mbegu wangu.
nipo swahiba huu mguu ukija huko utakuwa wa kwako.... sasa majuku yalizidiana
Hana pete ila ana ujauzito, anzia hapo!
Hata mimi nimesoma na nina umri wa kutosha na kweli nimeona mengi na kwa sababu nimeona mengi sitakubali mwanaume asiye na pesa ahusiane na mimi nomba na Mungu anipitishie mbali.
Ndugu,huoni aibu?
Taratibu dogowameru wanaoanaga wenyewe kwa wenyewe na maasira yao.yule mmeru na miasira yake atamuweza mtoto yule?aje kwangu chochote atapata.
mchagua nazi huambulia koroma........,
hope u wont be among them
hahhaha kama vile unanijua.my dear hiyo ni misemo tu?kama nazi zote mbovu?kawia ufike.
Anza ni contact ambazo tayari zipo public! (just google): email; hmdee@parliament.go.tz au mfate twitter: '@halimamdee. Au ukitaka na simu yake ya mkononi ingia hapa: http://www.parliament.go.tz/index.php/members/mpcvs/1339/2010-2015.nimevumilia sana jamani but huyu mdada mi nampenda sana.sauti yake,swaga zake sio za kisister duu ndo nakwisha kabisa namtafuta sana kama mtu akimuona anifikishie ujumbe wangu.alafu nashangaa mkononi hana pete ya ndoa mi nitamvalisha ntampa mapenzi motomoto na hata jutia kuwa na mimi.halima please i love you.mimi ni kijana ambaye anakufaa sina mademu wengine najua kupenda kaelimu kangu kazuri njoo tujenge familia tafadhali.
Anza ni contact ambazo tayari zipo public! (just google): email; hmdee@parliament.go.tz au mfate twitter: '@halimamdee. Au ukitaka na simu yake ya mkononi ingia hapa: Parliament of Tanzania.
Yeye pia ni member humu na nimemwona hapo chini akichungulia hii thread yako (sitakwambia ID yake ye JF)! Usiwasikilize wazushi wanaodai ati ni "mliberali":A S wink:. Kila la heri mkuu.
Taratibu dogo