Nampenda Farhia Middley

sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,286
2,000
Aisee nilikuwa sijamwona vizuri huyu mtangazaji wa ITV Farhia Middley, Jana kwenye kipima joto nimemtazama huyu mwanamke dashhhhh, ana umbo zuri ambalo limenivutia usipime. Ana umbile matata sana..
Farhia kama upo humu naomba uje PM nikutafute unitoe hii hamu kwako. Naumia sana napokuona hivi hivi, I love u.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,118

IKIMBIE ZINAA

1 KOR. 6:18-19

Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe;

Wako wapi vijana wanaomheshimu Mungu? Vijana wanaofahamu kuwa miili yao ni hekalu la Roho mtakatifu. Vijana wanaoishi maisha matakatifu wakiwa nyumbani, kazini, chuo, kanisani au michezoni, iwe mchana au usiku wao siku zote wanamtukuza Bwana kwa kinywa, moyo na miili yao? Vijana ambao hawakumbwi na wimbi la utandawazi na kumkosea Mungu? Vijana ambao hawabishani kuwa wapi kwenye biblia wameandika usimpe busu la ulimi mchumba wako, na wapi pameandikwa usimshike shike mchumba wako?

Vijana waliotayari kuikimbia zinaa hata kama watatengwa na rafiki zao. Wapo tayari kulishika neno la ushuhuda wao hata kama wataonekana hawapo kamili. Vijana wanaoijua kweli ya neno la Mungu nayo kweli imewaweka huru, sio huru kutenda dhambi bali huru mbali na dhambi. Mungu anatafuta waabuduo halisi wamuabudu katika roho na kweli, sio roho tu bali na kweli ambayo katika Yohana 17:17 biblia inasema hiyo kweli ni neno la Mungu.

Kuokoka sio fasheni, sio kuimba na kucheza madhabahuni, ni kumpokea Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha na kumkataa shetani na mambo yake yote.
 
sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,286
2,000
Dah naona mnanipiga mkwara kweli kweli il a Farhia mkali nyie wenyewe mnamtolea macho....
 
kwabwina

Senior Member
May 29, 2016
128
250
Kazi ndogo tu kaka nenda pale mikocheni ipp utampata Ukiona ugumu penyeza rupia tu kaka Si unajua vyuma vimekaza
 
bro_A

JF-Expert Member
Nov 5, 2015
1,315
2,000
Aisee nilikuwa sijamwona vizuri huyu mtangazaji wa ITV Farhia Middley, Jana kwenye kipima joto nimemtazama huyu mwanamke dashhhhh, ana umbo zuri ambalo limenivutia usipime. Ana umbile matata sana..
Farhia kama upo humu naomba uje PM nikutafute unitoe hii hamu kwako. Naumia sana napokuona hivi hivi, I love u.
hahahaahhahah mi sauti yake huniacha hoi
 
Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,410
2,000
Kazi ndogo tu kaka nenda pale mikocheni ipp utampata Ukiona ugumu penyeza rupia tu kaka Si unajua vyuma vimekaza
Au awe anapiga simu kila siku Jumapili asubuhi kwenye kipindi cha mambo ya familia anachofanya kwa kushirikiana na Mwaipaya huku anajifanya ni mwanamume anaejali mwanamke
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom