Mi nampenda anavyoandika kiswahili, na ana macho mazuri kwa mujibu wa Avata yake. Ila simpendi kwa sababu ya UDINI uliomjaa toka kichwani mpaka miguuni. BTW: NI MAMA NA MWALIMU MZURI KWETU SISI.............. Long live FF😛oa
minal faidhina bi dada,mimi nampenda sana FAIZA FOXY,ila nogopa kumwambia kuwa nampenda atanipelekesha ile mbaya,ila Faiza Foxy umelog in katika moyo wangu kwa ujasiri wako wa kubishana na hata watu 1000,ubarikiwe sana bi dada.Nalog offIjumaa Karim
FF is a toothless dog! I hates this creature, God forbid
Umevutiwa naye kimapenzi ama kihoja?Wanasema maumivu ya kichwa huanza polepole, Nilikuwa simpendi huyu mwanamke, lakini sasa bila kumuona nakosa raha kabisa nahisi namuogopa au nampendea sana.. lakini kiukweli nafurahia uwepo wake.. Ninge m-pm lakini najua kuna watu kama mimi walisha wahi kuwachukia watu then wakaja kuwa ni wapendwa wao sana,
Kuna vitu umekosea.
Nini nilichokosea bibie, mbona nilifuata hatua zote kwa umakini?
minal faidhina bi dada,mimi nampenda sana FAIZA FOXY,ila nogopa kumwambia kuwa nampenda atanipelekesha ile mbaya,ila Faiza Foxy umelog in katika moyo wangu kwa ujasiri wako wa kubishana na hata watu 1000,ubarikiwe sana bi dada.Nalog off
Umevutiwa naye kimapenzi ama kihoja?
Hivi utampenda vipi mtu usiyemjuwa?
FF is a toothless dog! I hates this creature, God forbid
huwa nikimwona FaizaFoxy moyo unakuwa na raha sana.unanikumbusha shangazi yangu anaitwa faiza ana ujuzi na majibu mazuri kama yako.huwa najiuliza asijekuwa ni shangazi yangu yupo jF.
Duh! ...halafu ikawaje..alifanikiwa kupata.Shauri yako. JF hii, kuna mtu kisha mtongoza binti yake humu kwa pm.
Faiza hivi kweli wewe una upendo?Mie nawashangaa nyie mnaohojihoji sana kama vile hamfundishwi "upendo"?
Duh! ...halafu ikawaje..alifanikiwa kupata.
Mimi hata kama unanichukia inabidi nikupe darsa dogo hapa la Kiingereza; Kama Kiingereza kinakupiga chenga si ungeandika Kiswahili tu, unakuwa kama Sugu?
Badala ya "hates" hapo ungetumia "hate" inge "sound proper, grammatically".
Halafu hapo mwanzoni ulipotumia "toothless dog" umekosea na sentensi yako inakuwa "contradictory" kwani hicho kinamaanisha ni "harmless" hakina meno, na wewe unakichukia, mara nyingi hicho kinafaa kionewe huruma na huwezi kutumia kwenye lugha ya kuchukia kitu ambacho hakina madhara, hapo inaonesha kuwa amma huijuwi lugha ya Kiingereza vizuri au unapingana na nafsi yako.
Bado unanichukia tu hata baada ya kukupa huu uelewa uliokuwa haunao kabla ya kusoma hapa?
Faiza hivi kweli wewe una upendo?
Ama kiswahili kigumu jamani.
Usinifanye niende kukuletea ile ya "Wajawazito wapigwe mabomu" Halafu ukadai watoto wao watazaliwa machizi.
Ebu nieleze upendo upi?
Ama unazungumzia ufanyaji mapenzi?