chini ya mwarobaini best, maana halitakauka na kunguru watalichafua kwa masusu yao.
chini ya mtopetope linaweza kukauka kwa uharaka maana kivule chake si totoro.
Kwa kumpenda mtu ni hadi umpate? We si ubaki huko uliko naye abaki aliko na uendelee kumpenda? Au una la zaidi ya kumpenda? Au wewe kumpenda mtu maana yake umpate?