Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,154
- 27,147
Ivi ni mm tu humu jamii forum Sina kazi au? Mungu nisaidie
Ivi ni mm tu humu jamii forum Sina kazi au? Mungu nisaidie
Take home ya mwalimu tena mwenye degreeAchen utan mnaosema ndogo. Ninyi ndo mnaacha 5000 per day. Mshahara huo ujue
Amekuambia ana pesa? Amesema kinachomkwaza
Wewe ndiyo mwenye makosa! Fanya hivi:Nianze kwa kumshukuru Mama Samia Suluhu kwa kuifungua nchi na kulinda legacy ya mtangulizi wake.
Iko hivi, naishi na mwanamke ni tumeokotana tu mtaani tukapendana tukaamua kuishi pamoja.
Huyu mwanamke yangu ni mtumishi wa hii serikali ya awamu ya sita katika moja ya hospitali mjini Dar es Salaam.
Sasa mimi kama mwanaume huwa najitahidi kumpa pesa ya matumizi ya mwezi mzima ili kuepusha mambo kuingiliana ila kuanzia huu mwaka uanze naona mara kwa mara nalishwa kabeji kila siku ilihali naacha nyumbani laki 5 ya matumizi kwa mwezi
Naelewa gharama za maisha zumeongezeka lakini naamini kiasi cha laki 5 kwa mwezi ninachompa huyu mwanamke kinatosha kabisa kwa sisi kula chochote tukitakacho ila mwenzenu nalishwa kabeji aisee.
Je, ni sawa au nichukue hatua?
Jaribu kumpa TZS 1,000,000.00 kwa mwezi halafu ulete mrejesho.
Haha... Yeah!Yaah kweli kabisa si unajua maisha yamepanda nayo
🤣🤣Jaribu kumpa TZS 1,000,000.00 kwa mwezi halafu ulete mrejesho.
🤣🤣🤣Hajui kupika huyo 🤣🤣🤣tafuta mdigo iyo laki tano unakuta mboga saba mpaka nyama ya ngamia
🙌🙌🙌🤣🤣 Jf bwanaNunua kabati, kisha hiyo laki tano nunua maharage, dagaa, mbaazi choroko, uwe unampimia glass moja kila siku kabla ya kwenda kazini. Siku ukiamua kula nyama unanunua nusu kilo unarudi nayo nyumbani. Hakikisha mnakuwa wote jikoni .😎😎
KWANI HIYO LAKI 5 MPO WANGAPI? INAWEZEKANA KUNA FAMILIA YA WATU 7Nianze kwa kumshukuru Mama Samia Suluhu kwa kuifungua nchi na kulinda legacy ya mtangulizi wake.
Iko hivi, naishi na mwanamke ni tumeokotana tu mtaani tukapendana tukaamua kuishi pamoja.
Huyu mwanamke yangu ni mtumishi wa hii serikali ya awamu ya sita katika moja ya hospitali mjini Dar es Salaam.
Sasa mimi kama mwanaume huwa najitahidi kumpa pesa ya matumizi ya mwezi mzima ili kuepusha mambo kuingiliana ila kuanzia huu mwaka uanze naona mara kwa mara nalishwa kabeji kila siku ilihali naacha nyumbani laki 5 ya matumizi kwa mwezi
Naelewa gharama za maisha zumeongezeka lakini naamini kiasi cha laki 5 kwa mwezi ninachompa huyu mwanamke kinatosha kabisa kwa sisi kula chochote tukitakacho ila mwenzenu nalishwa kabeji aisee.
Je, ni sawa au nichukue hatua?
Yaani naipenda kabichi mnooooo huniambii kitu aisee haswaa iwe mixer na nyama daahhWatu wengi wana bifu na kabichi, mimi naipenda sharti ipikwe vizuri.
😄🤣Humu Kila mtu tajiri, wale wanaoacha buku tatu kwa siku hawamo humu.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
😄😄🤣
🤣🤣🤣😄😄 Kichwa kikaanza kujaa kama pulizo ,🤣🤣 Nasikia mpaka ulisahau jina lako unaitwa Nani within a two weeks 🤣🤣🤣Siku moja niliingia cha kike aisee pale mlimani City,agiza misosi na kisha kuwapiga ofa washikaji fulani wawili,naletewa bili laki 2 na Elfu 60,nikadhani labda wamekosea wakaongeza sifuri moja kimakosa,pesa inauma aisee sirudii tena huo utopolo,mkuu laki 5 ni pesa yakununua shamba heka mbili ama tatu
Siku moja jioni hebu jikaze kiume udai taarifa ya Mapato na Matumizi uone itakuwaje!!Nianze kwa kumshukuru Mama Samia Suluhu kwa kuifungua nchi na kulinda legacy ya mtangulizi wake.
Iko hivi, naishi na mwanamke ni tumeokotana tu mtaani tukapendana tukaamua kuishi pamoja.
Huyu mwanamke yangu ni mtumishi wa hii serikali ya awamu ya sita katika moja ya hospitali mjini Dar es Salaam.
Sasa mimi kama mwanaume huwa najitahidi kumpa pesa ya matumizi ya mwezi mzima ili kuepusha mambo kuingiliana ila kuanzia huu mwaka uanze naona mara kwa mara nalishwa kabeji kila siku ilihali naacha nyumbani laki 5 ya matumizi kwa mwezi
Naelewa gharama za maisha zumeongezeka lakini naamini kiasi cha laki 5 kwa mwezi ninachompa huyu mwanamke kinatosha kabisa kwa sisi kula chochote tukitakacho ila mwenzenu nalishwa kabeji aisee.
Je, ni sawa au nichukue hatua?
Kitunguu kikubwa haipiti week sijaipika naipenda.Yaani naipenda kabichi mnooooo huniambii kitu aisee haswaa iwe mixer na nyama daahh
ha ha ha ha ha yes. you are wrongTukiachana na mtoa mada kiukweli wanawake wengi ni wabinafsi.hata mimi lilinikuta hili aisee naacha hela nzuri nakuta kapika vitu vya ajabu.nikamkazia nilichofanya nikawa nikiondoka asubuhi namwachia mfanyakazi pesa tena namuuliza leo mnapika nn akisema maharage basi buku tano inawatosha akisema nyama au samaki nampa ya kutosha hiyo bajeti.wife akanunaaa hahahaha