Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,026
- 94,670
Kuna ulalamishi mwingine ni wa kitoto sana, kwanza mimi binafsi siamini katika kuacha ela kula nyumbani, nadhani mtu unayejielewa make sure chakula kipo nyumbani.
Nenda super marketa fanya banka yako ya mahitaji ya mwezi au wiki mbili, hapo una mchele unga, unga wa ngano na makorocho yote mpaka ukitoka kile kitoli kimejaa, nenda sokoni nunuwa nyanya sado, vitunguu kilo mbili, karoti kilo mbili, hoho, swaumu, tangawizi na some soice weka ndani.
Nunuwa kilo mbili za nyama katakata weka kwenye friji, ukiweza kufuata muongozo huu nyumbani kwako hakuna biashara ya kodi ya meza labda siku moja moja ndio unawauliza wanataka mboga gani unaacha mwekundu wa msimbazi anatosha, na kama unakaa kwako siku hizi mboga za majani unaotesha kama unavyootesha mauwa kwenye makopo siyo za kununuwa daily.
Mimi system ya nyumbani kwangu chakula hakikosekani muda wowote nitakaorudi nikifunguwa friji natowa vitu nawasha gesi mchemsho wa kishkaji fasta tu wala simsumbui mtu na wala sitaki kupikiwa na mtu nikishagonga vyombo vyangu.