Mute notifications kwenye message husika (fungua messages, halafu wakati conversations zote zimejipanga long press kwenye ile husika mfano SENSA itaonyesha option ya kikengele kibonyeze utaona mstari umepita pale tayari umemute hiyo notification) ina maana hao sensa wakituma msg itaingia lakini haitaonyesha pale juu, haitatoa sauti wala ishara yoyote na hata kama simu yako huwa inavibrate ukiishika kukujulisha kuwa labda ulimiss kusoma msg fulani haitafanya hivo. Hizo msg utakuwa unaziona pindi unapoamua kufungua mwenyewe ndani ya messages. Mie ndivo ninavofanya maana zile huwezi hata kuziblock jamaa ndo wako in control😀 nilikuwa najaribu kuweka attachment ya muted messages ila naona siruhusiwiMwenzenu nakerwa mno na meseji nyingi za kijinga zinazoingia kwenye simu yangu kila mara kutoka VODACOM Na TIGO. Mara Songesha, mara Ofa maaluma.......yani vurugu tupu.
Naomba mwenye kujua jinsi ya kuziblock anisaidie. Wajinga sana hawa. Wanatulazimisha kupokea msg zao bila ridhaa yetu halafu nyingi mno mpaka zinakera. Allllaaaaaaa......