Fungua sehemu ya meseji,Bonyeza meseji shikilia mpaka pale juu kulia itokee Alama ya kudelete na vinukta 3 chagua vinukta vitatu,vitakupa option ya kublockMwenzenu nakerwa mno na meseji nyingi za kijinga zinazoingia kwenye simu yangu kila mara kutoka VODACOM Na TIGO. Mara Songesha, mara Ofa maaluma.......yani vurugu tupu.
Naomba mwenye kujua jinsi ya kuziblock anisaidie. Wajinga sana hawa. Wanatulazimisha kupokea msg zao bila ridhaa yetu halafu nyingi mno mpaka zinakera. Allllaaaaaaa......
Pole ila cheza na simu yako tu!.Ni smartphone ndio. Nilishajaribu mpaka kuBLACKLIST lakini zinaingia tu!
Tena hao voda wangese wanakutaja na jina lako la kwanza kabisa kama mtoto wa chekechea.Mwenzenu nakerwa mno na meseji nyingi za kijinga zinazoingia kwenye simu yangu kila mara kutoka VODACOM Na TIGO. Mara Songesha, mara Ofa maaluma.......yani vurugu tupu.
Naomba mwenye kujua jinsi ya kuziblock anisaidie. Wajinga sana hawa. Wanatulazimisha kupokea msg zao bila ridhaa yetu halafu nyingi mno mpaka zinakera. Allllaaaaaaa......
Hata kama haina namba unaweza kuzuiaMessage za makampuni nyingi huwa hazina namba
Tatizo la hii option hii ni kwamba wote wanaokupigia kwa namba mpya ambayo hujaisevu (na meseji zao) hawatakupata. Hii nayo siitaki.Pole ila cheza na simu yako tu!.
Ningekuwa mwl, ningeweza kukufundusha but not.
Ila kwangu msg zote za makampuni ya simu zinaenda folder la spam na call zinaenda blocked call nimeilazimisha handset yangu namba zisizoeleweka zinakuwa blocked!
AsanteTumia hii true caller. Kimfano hizi unazoziona hapa zote ni sparm na blocked msg. Na ni rahisi pia kutumia, hizi sparm msg zitaingia kimya kimya ni mpaka utake kuziona ndo utaziona. Pia unaweza elekeza cm izifute zote kimya kimyaView attachment 2464045
😆😆😆 Mbona umeblock mpaka SongeshaTumia hii true caller. Kimfano hizi unazoziona hapa zote ni sparm na blocked msg. Na ni rahisi pia kutumia, hizi sparm msg zitaingia kimya kimya ni mpaka utake kuziona ndo utaziona. Pia unaweza elekeza cm izifute zote kimya kimyaView attachment 2464045
Mpaka hapo hujanielewa na ndiyo maana nikasema ningekuwa mwalimu.Tatizo la hii option hii ni kwamba wote wanaokupigia kwa namba mpya ambayo hujaisevu (na meseji zao) hawatakupata. Hii nayo siitaki.
Asante kwa kuulizaMwenzenu nakerwa mno na meseji nyingi za kijinga zinazoingia kwenye simu yangu kila mara kutoka VODACOM Na TIGO. Mara Songesha, mara Ofa maaluma.......yani vurugu tupu.
Naomba mwenye kujua jinsi ya kuziblock anisaidie. Wajinga sana hawa. Wanatulazimisha kupokea msg zao bila ridhaa yetu halafu nyingi mno mpaka zinakera. Allllaaaaaaa......
Mwenzenu nakerwa mno na meseji nyingi za kijinga zinazoingia kwenye simu yangu kila mara kutoka VODACOM Na TIGO. Mara Songesha, mara Ofa maaluma.......yani vurugu tupu.
Naomba mwenye kujua jinsi ya kuziblock anisaidie. Wajinga sana hawa. Wanatulazimisha kupokea msg zao bila ridhaa yetu halafu nyingi mno mpaka zinakera. Allllaaaaaaa......