Namna ya kuweka website / system yako ya website kwenye internet

equator

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
209
123
Je una website iliopo offline? na unataka kuiweka kwenye intenet? pata msaada wako hapo WA BURE pia kwa wanaojua mnaweza kuchangia na kunikosoa!.
Kwa mtazamo wangu naona kuna njia mbili kuuu.
1)Kutumia server ya bure(Japo kuna faida na hasara zake)
Mifano ya server za bure(Ntazitaja kadhaa lakin ntaelezea kama 2 tu)
  1. Netlify
  2. Heroku .com
  3. Render
  4. Infinity free
  5. Na zingine Nyingiiiiii.. Kama unajua yako ntashukuru kama utaongezea!
Ntakwenda kuelezea Infinty free tu
Lakin Ikumbukwe kwamba hizi za bure zina kikomo kiasi flani ambapo uki zidi hivyo vikomo lazima ulipie.

Infinity free​

Infinity free itakurusu kutengeneza website za php na html na itakupa mysql kwajili ya database.
Namna ya kuweka website yangu Infinity free?
  • Kwanza utahitaji akaunti ya infintyfree Ambayo utajaza Email yako na utaweka password unayotaka.
  • Infinity 1.PNG
  • Picha 1:Namna ya kutengeneza account infinity free
    • Cha pili ni kutengeneza website account yani mfano nina website ambayo ABC ntatengeneza account yake ambayo ni abc .
  • Infinity 2.PNG
  • Kama unavyo ona kuna pahali pa account ambayo hiyo ina wakilisha website Kwa mfano ntatengeza website inaitwa equator_example kama mfano.
  • Kufanya hivyo unafanya kama ifuatavyo
  • Unabonyeza New account
  • Kitachofata utaambiwa kuandika domain name/ Jina la website unayo taka (Kwa sababu natumia YA BURE ntapewa ambayo ipo kama equatorexample.epizy.com )
  • Infinity 3a.PNG
  • Baada hapo ntatengeneza Hosting Account
  • Infinity 3.PNG

    • Baada ya hapo una weza kwenda kwenye control panel ambapo utaweza kufanya mambo kama Ku add database na ku upload ma file yako.

    • Kinachofata ni ku upload website yako kwenye server/ account yako una weza ukatumia “FTP CLIENT” kama vile Filezilla . Au una weza uka upload kutumia browser yako. Au kutumia ftp kama vile Ftp Client kama “FTP CLIENT” kama vile filezila.

  • 2)Kutumia sever ya kulipia
  • Kuna server nyiiiiiiingi sana za kuhostia ambazo unaweza kulipia
  • Ntakuja nazo baadae plan zake na jinsi mda unavyo enda ntaongeza MAMBO MOTOMOTO

Je una swali la aina GANI? Kama ni la siri njoo inbox kama ni la kawaida uliza hapa na ntajibu kwa faida ya wote!
 
Mmmmmh sijaelewa kitu hapo hivi huwezi kuiweka site ya .blogspot kwenye jnternent au mpaka utumie hiyo ya kwao ya .epizy????
 
Kuna baadhi ya website ukiingia, kuna post za website zingine zinaoneka kwenye website yake. Mfano kuna website zinazohusu mambo ya tech n.k lakini kwa chini ya post. Kuna post za afya zinaonekana lakini ukibonyeza hizo post zinakupeleka kwenye website nyingine zinazohusu afya. Hiyo inawezekana kwenye blogspot? Kama inawezekana. Msaada tafadhali
 
Kuna baadhi ya website ukiingia, kuna post za website zingine zinaoneka kwenye website yake. Mfano kuna website zinazohusu mambo ya tech n.k lakini kwa chini ya post. Kuna post za afya zinaonekana lakini ukibonyeza hizo post zinakupeleka kwenye website nyingine zinazohusu afya. Hiyo inawezekana kwenye blogspot? Kama inawezekana. Msaada tafadhali
Yale Ni matangazo tu ndio yanaonekana pale ameweka mwenye website na ukigusa inakupeleka kwa ile website ya tangazo ukaone zaid
 
Kwenye hizo za unaweza kupewa free domain eg myweb.com/org/net? Na wanahost kwa kiasi gani?
 
Namaanisha ukitaka kupata
Com/.net au .org inacost sh ngapi?na Kama free Ni kwa mda gani?na kama Ni web master umecreate web yako kwa html Kama Ni static au php unaweza kuupload web yako na ikawa hewani fo free?
 
Namaanisha ukitaka kupata
Com/.net au .org inacost sh ngapi?na Kama free Ni kwa mda gani?na kama Ni web master umecreate web yako kwa html Kama Ni static au php unaweza kuupload web yako na ikawa hewani fo free?
Kama unataka kumiliki website yako ondoa Hilo wazo la Free hosting
Gharama za hosting ni Tsh 76,000 kwa basic package (Kwa kuanzia)
Hio Ni pamoja na domain kwa mwaka

Kuhusu website,kwa static website ambayo user hato interact nayo unaweza kutumia front end Language kama html CSS na JavaScript

Kama unataka real website kwa ajiri ya biashara yako tafuta Web developer

Kama unataka tu kutest idea yako tumia WordPress (haichukui dakika) website itakua tayari

Business ikikua inabidi utafute web developer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mfano me nnasource code filed(zip)nataka taasis flan waitumie nafuata process gan
 
Back
Top Bottom