Namna ya kuwapata warembo wa kizungu

Namna ya kuwapata warembo wa kizungu

nyie watu bana

charity begins at home

jiulize hapa home (TZ) umewavua (kama samaki) wangapi kutoka INSTAGRAM,
 
Haya sasa Naona vijana mnaenda ngazi za kimataifa Kama Mond katika sekta yenu ya kuzama chumvini. Kaitangazeni nchi yetu na huko bhana
 
Wengi tu mkuu ,
Na kwa hapa Arusha wewe nenda pale VIA VIA na ujuekuongea hata Kile kizungu kidogo cha kuombea maji .
How's going this evening?
I'm Mike,
Nice to meet you .
Which country are u from ?
Usipende kuanza kuwauliza how old are u hawependagi ,halafu kama ni koko kwenye mazungumzo unaweza kuchomekea u looks young au u r adorable ,unamchomekea maneno ya positive never ever been in Negative ni hayo tu my buddies.
Aksante saana mkulu
 
Wacheni kupenda urahisi. Ndio nyie mkiwapata wakifika huko kwao wanawafanya ma house boy
 
Back
Top Bottom