Namna ya kuwaona wachawi kwa kutumia Kisamvu

cariha interesting Sana... Ukamwambia tulia wewe..
 
Si kisamvu tu hata ukikaaa chini ya mti wa muhogo, hakikisha kuwe na umande, niliwahi kujaribu ila kadri masaa yanavyosogea hofu inaongezeka ( hapo sjaanza kuona mauza uza)
....Wenge likanifanya nikimbie..Sijajaribu tena.
Siku nikienda Bariadi nitaijaribu hii. Litakalonipata lawama zote kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…