UpoooMmmh Ingia youtube, ukikosa tafuta mtu anayeuza alizotengeneza mwenyewe umlipe akufundishe
Nenda SIDOUpooo
Ya kwanza ya kua mweupe sanaKuna lotion za aina 3:
Kuna zile za kudamshi kua mweupe sana
Kuna zile za kudamshi kun'gaa kidogo
Kuna zile za kudamshi za kukupa glowing skin
Unataka ipi apo?
Alovera gel 4tspNenda google kuna maelezo yote kwa vitendo kabisa
M pia nimejifunzia huko ila bado ya kutoa sugu
Alovera gel 4tsp
Vitamin e capsule 4
Maxiwhite serum yenye kojic
Orange ess oil 1tsp
Sandalwood ess oil 1tsp
Carrot ess.oil 1tsp
Tea tree ess oil 1tsp
Yes ya sugu love.Yasugu right?? Thank you dear
Serum ya sugu hiyo dearHabari jf
Nahitaji msaada wenu wa jinsi ya kutengeneza lotion zile wanaita za kudamshi, lengo hasa ni kwa ajili ya ujasiriamali..nitashukuru endapo atajitokeza mtu na kunifundisha..please
Kuna lotion za aina 3:
Kuna zile za kudamshi kua mweupe sana
Kuna zile za kudamshi kun'gaa kidogo
Kuna zile za kudamshi za kukupa glowing skin
Unataka ipi apo?
Mbona haujamjibu apa kibonge mwenzanguYa kwanza ya kua mweupe sana
Na hiyo ya glowing skin dear nisaidie kama unajua
Nilimalizana nae asap kibonge mwenzanguMbona haujamjibu apa kibonge mwenzangy
Unafundisha utengenezaji wa lotion?Alovera gel 4tsp
Vitamin e capsule 4
Maxiwhite serum yenye kojic
Orange ess oil 1tsp
Sandalwood ess oil 1tsp
Carrot ess.oil 1tsp
Tea tree ess oil 1tsp
@Yna2Hello habibty naomba nifundishe na mm kutengeneza hyo lotion