Namna ya kutafuta scholarship ya masters

Ulikua na lengo nzuri sijui!!! Make nimeona wadau wengi waneleta utani mwingi adi maana ya Uzi umearibika tena; japo na Mimi pia nimekua na hitaji kama yako hiyo. Nimepata admission lakini ufadhili sijapata na lengo langu ni kupiga Shule kule Arusha nikiwa nasimamia mambo yangu
Admission ninazo vyuo viwili, ila ufadhili ndo sijapata
 
Ulikua na lengo nzuri sijui!!! Make nimeona wadau wengi waneleta utani mwingi adi maana ya Uzi umearibika tena; japo na Mimi pia nimekua na hitaji kama yako hiyo. Nimepata admission lakini ufadhili sijapata na lengo langu ni kupiga Shule kule Arusha nikiwa nasimamia mambo yangu
yeye mwenyewe muhusika ana utani... hamaanishi...
GEL PhD Full Funded Scholarship in Tanzania 2019
 
Very interesting.... Uzi unajadirika nimempenda na mtoa mada pia
 
Back
Top Bottom