Herr muller
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 1,017
- 1,214
I dont beleive you, no one dont want to study abroad, in abroad you get more experience, those countries are much more advanced than tz, or maybe you got your bachelor degree in a way not genuine, anyway what do you want to study plsWadau habari zenu jamani ninayo admission letter ya kusoma masters yangu chuo kimoja hapa nchini nili apply mwaka huu ila hata mwakani naweza soma mana huwa ina expire ndani ya miaka miwili
Mwaka huu sijaenda mana ada naona ndefu alafu siwezi kuilipa nitakwamisha mambo mengine, nawezaje kupata ufadhili wa hapa hapa nchini, mana sitaki kusoma nje ya nchi
Naomba ni link na nafasi za kupata scholarship please
