Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 9,231
- 10,469
course gani umesoma?? una miaka mingapi kazini???Mimi ni mtumishi wa umma ufaulu ni mzuri upper second 3.9
Age ni 27
Vigezo karibia vyote ninavyo
course gani umesoma?? una miaka mingapi kazini???Mimi ni mtumishi wa umma ufaulu ni mzuri upper second 3.9
Age ni 27
Vigezo karibia vyote ninavyo
nilijuaga nelson Mandela wana masters programs na kuendelea, kumbe wana hiv via degree piaBSc.Agricultural sustainability
Nelson mandela University
Mimi hapa umenipataMalengo yangu yalikuwa niwe na mume ndo nikasome masters ila yalotokea ndoto zikazimika dahhh wanaume nyie Mungu anawaona
Sasa acha niende tu shule, mume atanikuta huko huko
okI mean Msc. Pale hamna degree ni masters na phd only
Usijali Dada Mme utaopata kupitia Uzi huu, kama nadanganya chungulia pm yako wanaume wa Jf wako smart kwenye hii sekta😀😀😀Malengo yangu yalikuwa niwe na mume ndo nikasome masters ila yalotokea ndoto zikazimika dahhh wanaume nyie Mungu anawaona
Sasa acha niende tu shule, mume atanikuta huko huko
Ni kweli but sipo interested kusoma nje kwa sasaUnaweza kuomba kwenye vyuo vya nje pia.. kuna scholarship kibao zina support watanzania wanaotaka kusoma masters.. kama Irish AiD- Now Open, Commonwealth scholarship-Open, Swedish Institute scholarship nayo inafunguliwa soon
Wewe ni me au ke? Kama ni ke uko mkoa gani?Mimi ni mtumishi wa umma ufaulu ni mzuri upper second 3.9
Age ni 27
Vigezo karibia vyote ninavyo
Samahani, hiyo avatar ni wewe?Malengo yangu yalikuwa niwe na mume ndo nikasome masters ila yalotokea ndoto zikazimika dahhh wanaume nyie Mungu anawaona
Sasa acha niende tu shule, mume atanikuta huko huko
Hataki njeUnaweza kuomba kwenye vyuo vya nje pia.. kuna scholarship kibao zina support watanzania wanaotaka kusoma masters.. kama Irish AiD- Now Open, Commonwealth scholarship-Open, Swedish Institute scholarship nayo inafunguliwa soon
Wacheki DAAD huwa wanakuwa na ufadhili wa ndani na nje ya nchiWadau habari zenu jamani ninayo admission letter ya kusoma masters yangu chuo kimoja hapa nchini nili apply mwaka huu ila hata mwakani naweza soma mana huwa ina expire ndani ya miaka miwili
Mwaka huu sijaenda mana ada naona ndefu alafu siwezi kuilipa nitakwamisha mambo mengine, nawezaje kupata ufadhili wa hapa hapa nchini, mana sitaki kusoma nje ya nchi
Naomba ni link na nafasi za kupata scholarship please