Head Gelo
Senior Member
- Oct 7, 2018
- 122
- 210
Wadau habari zenu jamani ninayo admission letter ya kusoma masters yangu chuo kimoja hapa nchini nili apply mwaka huu ila hata mwakani naweza soma mana huwa ina expire ndani ya miaka miwili
Mwaka huu sijaenda mana ada naona ndefu alafu siwezi kuilipa nitakwamisha mambo mengine, nawezaje kupata ufadhili wa hapa hapa nchini, mana sitaki kusoma nje ya nchi
Naomba ni link na nafasi za kupata scholarship please