mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,732
- 1,610
Matokeo ya Uchaguzi 2015:
Mh. John Magufuli 8.8 million
Mh. Edward Lowassa 6.0 million.
Wote tunakubaliana kwamba Idadi ya Kura za EL hazitabadilika. Zinazihitajika ni kura za ambao hawakupiga kura na ambao walimpigia JPM 2015.
Ili TL aweze kushinda anahitaji kura si chini ya mil 9.
Namna ya kutafuta kura 3.0 million zilizopelea::
Kama kura 3m tukigawa kwa Halmashauri zote 185 = 16,300 kura zinahitajika kwa kila Halmashauri nchi nzima.
Iwapo vijana 100 kwenye kila Halmashauri nchi nzima wakiingia mtaani ina maana kila kijana atahitajika kushawishi watu 163 au zaidi kupiga kura ili kupata idadi ya 16,300.
Nishawachambulia kazi kwenu.
Stay blessed
Maendeleo hayana chama
Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app