Namna ya kutafuta 'alama yako' kiroho

Namna ya kutafuta 'alama yako' kiroho

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,358
Reaction score
832,510
4848-e1380214024864-680x554.jpg
mafuvu ni alama maarufu inayotumiwa na wengi... Wengine wanajua maana yake na wengine ni kuiga tu.. Fuvu na mifupa miwili ni alama ya kufisha na uharibifu
Watu hupenda kuwa na alama mbalimbali za kujitambulisha, hata hapa JF kuna watu hutumia alama kwenye avatar zao
Kuwa makini na alama unayotumia kwakuwa kiroho hukutmbulisha hivyo na kuipa nguvu ya kutenda katika ulimwengu halisi
Unatafuta vipi alama yako halisi? Fanya hivi
1. Tafuta sehemu iliyokuwa kimya na tulivu
2. Kaa katika mkao wa tahajudi kwa utulivu
3. Vuta hisia za ngazi... Yaani tengeneza ngazi akilini mwako
4. Weka nia ya kuipata alama yako juu mwisho wa ngazi
5. Vuta hisia halisi za kuanza kupanda ngazi yako
6. Panda kihisia mpaka juu kabisa
7. Cha kwanza utakachokiona mawazoni mwako juu mwisho wa ngazi ndio alama yako kiroho... Itumie hiyo kwa mambo yako... Unaweza ichapa kwenye vitu vyako, kuitumia kama avatar, kuitumia kwenye manuizi na viapo! Wengine hujichora tattoo ya alama zao
Ukiweza kuipatia alama yako kwa usahihi utakuwa umezalisha roho yenye nguvu hata kwenye mambo ya kulaani na ushirikina hivyo kuwa mwangalifu sana
Njia ya tahaduji ni ngumu hivyo baadhi hutumia bangi kupata imagination husika ama ulozi lakini hizi ni njia bandia na zenye madhara mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa elimu uliyotupa,..tahajudi ndio mkao gan
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Ndiyo mkuu wangu hapa ARUSHA wakusikie vijana wanapenda sana fulana zile zimechorwa nyoka,mafuvu ..na picha nyingine za kutisha ktkt hali ya kawaida tu picha hizo husumbua akili kumbe nilikuwa nikiwaza sahihi kabisa Wengine huvaa mikanda yenye fuvu dooo ni jambo LA kuogofya! Asant mkuu mkuu .
 
Tupo kwenye kipindi cha viwanda,ni kiwanda gani hiki,umegundua?nitajie alama ya kiroho ya Bakressa,Dangote,Bill gate,na Obama,
 
Ndiyo mkuu wangu hapa ARUSHA wakusikie vijana wanapenda sana fulana zile zimechorwa nyoka,mafuvu ..na picha nyingine za kutisha ktkt hali ya kawaida tu picha hizo husumbua akili kumbe nilikuwa nikiwaza sahihi kabisa Wengine huvaa mikanda yenye fuvu dooo ni jambo LA kuogofya! Asant mkuu mkuu .
q.jpg
wanavaa kama fasheni bila kujua maana yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 581171mafuvu ni alama maarufu inayotumiwa na wengi... Wengine wanajua maana yake na wengine ni kuiga tu.. Fuvu na mifupa miwili ni alama ya kufisha na uharibifu
Watu hupenda kuwa na alama mbalimbali za kujitambulisha, hata hapa JF kuna watu hutumia alama kwenye avatar zao
Kuwa makini na alama unayotumia kwakuwa kiroho hukutmbulisha hivyo na kuipa nguvu ya kutenda katika ulimwengu halisi
Unatafuta vipi alama yako halisi? Fanya hivi
1. Tafuta sehemu iliyokuwa kimya na tulivu
2. Kaa katika mkao wa tahajudi kwa utulivu
3. Vuta hisia za ngazi... Yaani tengeneza ngazi akilini mwako
4. Weka nia ya kuipata alama yako juu mwisho wa ngazi
5. Vuta hisia halisi za kuanza kupanda ngazi yako
6. Panda kihisia mpaka juu kabisa
7. Cha kwanza utakachokiona mawazoni mwako juu mwisho wa ngazi ndio alama yako kiroho... Itumie hiyo kwa mambo yako... Unaweza ichapa kwenye vitu vyako, kuitumia kama avatar, kuitumia kwenye manuizi na viapo! Wengine hujichora tattoo ya alama zao
Ukiweza kuipatia alama yako kwa usahihi utakuwa umezalisha roho yenye nguvu hata kwenye mambo ya kulaani na ushirikina hivyo kuwa mwangalifu sana
Njia ya tahaduji ni ngumu hivyo baadhi hutumia bangi kupata imagination husika ama ulozi lakini hizi ni njia bandia na zenye madhara mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu TAHAJUDI huwa sikielewi ni nini hasa....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko sawa sawa!! Ila baadhi ya hiyoo mikao ni migumu sana kwa watu wasio na maziez ya kutosha!
Kuna sehemu niliwahi ina na kuisoma elimu ya vitolijia je ina uhusiano na hii mambo unayo izungumzia hapa?
 
Back
Top Bottom