Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,659
- 40,946
Huo utakuwa umejitakia tu mwenyewe; kwa mwanaume ni rahisi sana kupata mwenza wa kuishi naye na kumpa kampani kuliko mwanamke.Yeah safi.
Wengine tuko na upweke hata kabla hatujazeeka.
Sikatai ni kweli kabisa,Huo utakuwa umejitakia tu mwenyewe; kwa mwanaume ni rahisi sana kupata mwenza wa kuishi naye na kumpa kampani kuliko mwanamke.
Kwa hiyo huo upweke wako ni wakujitakia.
Muhimu ni malengo, baada ya muda fulani unatakiwa utulie sehemu moja; hatukuumbwa ili tuteseke kwenye utafutaji tu.Sikatai ni kweli kabisa,
Mazingira na maisha kwa ujumla yanafanya niwe hivi maana ninaweza kutoonekana mazingira ya nyumbani hata mwaka 1/2 na nikirejea nitakaa kwa 2/3 months.
Naaaam.Muhimu ni malengo, baada ya muda fulani unatakiwa utulie sehemu moja; hatukuumbwa ili tuteseke kwenye utafutaji tu.
Kuna umri unatamani uletewe ata wajukuu, na hauletewiKuna watu hatupendi fujo, Tunaonekana wapweke ila ndo Furaha yetu.
Sasa mfano mimi sijawah tamani mke, watoto wala wajukuu. Yani mimi nikiwa na pesa tu basi inatosha familia si lolote kwangu.Kuna umri unatamani uletewe ata wajukuu, na hauletewi
Inategemea na idadi na aina ya watu anaoishi nao; wapo ambao wakirudi nyumbani wakiwa kwenye mijengo mikubwa wanakuwa kama wapo kifungoni, ndio maana wengine wanatafuta ata watu wa kuazimaHv ukiwa na Hela nao upweke unaupata mkuu ..
unakuta jamaa kajenga bonge ya nyumba na kwasasa anaishi yeye na mkewe tu, hadi anaogopa nyumba yake mwenyewe 🐒Binadamu yeyote anahitaji kuwa na furaha, pamoja na kuzungukwa na watu mbali mbali ambao watamfanya achangamke na kuondoa au kupunguza tatizo la msongo wa mawazo.
Hii imekuwa ikitokea kwa baadhi ya familia, baada ya kukuza watoto wao na kwenda kujitegemea, na hatimaye kuwaacha wazazi wao wakiwa wapweke huku wakizungukwa na majengo au vyumba visivyokuwa na watu.
Njia ninazoweza kuwashauri jamii ya namna hii, kugawa kiwanja au jengo katika sehemu tatu; sehemu ya kwanza inaweza kutumiwa kama karakana ya kutengeneza vitu fulani n.k.
Sehemu ya pili itakuwa makazi ya familia, na sehemu ya tatu unaweza kuweka biashara yoyote iwe ni ya vinywaji n.k
Hii itasaidia kuwa na mzunguko mkubwa wa watu, na itapunguza uwezo wa mtu kukaa pekee yake pamoja na kuwepo kwa msongo wa mawazo.
Karibuni kwa hoja
Ndio maana jamii ya wahindi, watoto wazee wanaishi kwenye boma mojaUpweke mbaya sana
Haya maneno yanatoka akilini na moyoni?Niko hapa kabla ya February kuisha
Come on...Haya maneno yanatoka akilini na moyoni?
😅Imani inaniingia hivi,ubongo unaninong'oneza na my heart's tellin' me to do something for . . . . . .