Namna ya kupenda tena

Namna ya kupenda tena

Nina wasi wasi na akili zako, kapimwe akili. Gegeda tu faida yake utaiona fyuuuu!!
 
sasa umekuja kututangazia ili iweje,kuwa kigegedo chako kinafanya kazi sana

kuzidi wanaume wenzio!!!!!!!!!!

[FONT=georgia, bookman old style, palatino linotype, book antiqua, palatino, trebuchet ms, helvetica, garamond, sans-serif, arial, verdana, avante garde, century gothic, comic sans ms, times, times new roman, serif]When a stupid man is doing something he is ashamed of, he always declares that it is his duty.[/FONT]

yan kama msemaj wa selikal unafaa jamaa amnazo
 
Pole sana rafiki, hata kama umejeruhiwa hupaswi kuwa mtu wa visasi. Naomba uzingatie ushauri kwakua umeomba ushauriwe.
Kwanza kabisa unatakiwa kujitambua kuwa wewe ni kijana ambae unategemewa si tu na familiya yako bali, jamii na taifa kwa ujumla hivyo hupaswi kutegemeza akili yako katika mapenzi, hata hivyo kila matu ana mtazamo wake na malengo yake, pia kubali kuwa binadamu tunatofautiana hivyo jaribu kuheshimu maamuzi ya mtu mwingine (mpenzi wako). Kama kakukataa kubali songa mbele.
Tambua kuwa wewe ni mtu wa thamani hivyo hukuumbwa kwa ajili ya mapenzi kwa mpenzi aliyekuacha, unatakiwa uhamini utu wako kama mwanaume na mtu mzima mwenye malengo badala ya kutoa kipaumbele kwenye mapenzi na umalaya ambavyo kwa hakika havina tija.
Ni kosa kubwa kimaadili na kisheria kutembea na watoto wa shule, si hivyo tu bali ni hatari zaidi kufanya ngono zembe au ngono salama bila mpangilio, unaweza pata magonjwa hatari ya kimwili na kiakili, kibaya zaidi unaweza kuishia jela ambapo utakuwa mke wa wafungwa wazoefu.
Kaa utulie wanawake wazuri wapo na wanahitaji wanaume wazuri wenye kujitambua na kujiamini, mwanaume unatakiwa kuwa mtu mwenye kujiamini, mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu, siyo unakuwa mwepesi kiasi hicho; kukataliwa tu na mpenzi na wewe unajikataa, haifai mwanaume kuwa hivyo.
Ukisha tulia tafuta mchumba kwa umakini ili upate mwenza wa maisha badala ya kurukaruka bila mwelekeo, gari isiwe tiketi ya kukupeleka jehanamu, kwani gari ni kitu kidogo mno katika maisha. Chapa kazi kwa bidii, jiheshimu na kuwaheshimu watu wengine ikiwa ni pamoja na wanafunzi. Hao ni watoto wetu na wadogo zako hivyo unapaswa kuwa na staha.
Mwisho: Kama itashindikana mtafute mshauri nasaha, mtaalamu wa saikolojia atakusaidia. Mwogope MUNGU maana siku atakapo kutoa hizo nguvu za kiume ambazo unazitumia ovyo utajuta tena utatamani bora zikawepo na ukakimbiwa na wanawake kuliko zikakosa. Nakutakia maisha mema.
 
Watoto wa shule, Jichunge, utaishi kwa babu seya! Na pia kumbuka tabia yako inaweza kukufikisha kwenye kupata magonjwa yasiyo na tiba! Sasa ufanyaje? Jiheshimu, thamani utu wako na linda hadhi yako. Tafuta msichana uone na kuepukana na tabia za mbaya za namna.

alafu anadanganya eti hata hapendi,kupenda hakuishagi bana!
 
umeniboaa kweli wewe acha mambo ya kingese kabisa achana na watoto wa shule kuwaharibia future zao please
 
wew umekulia bonde gan kama sio la turkana. maana una erupt 2 matapishi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom