Mimi huwezi kula hela yangu kizembe
Labda kwa mtu ambaye hajui ujanja huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu ni mshamba na huelewi chochote
Mtu kaunganisha watu mpk katuma screenshot ya device zinazotumia kwake bado unasema huwez kuliwa hela? Watu ni Thomaso sana halaf sio Utomaso tu bali na umaskini unakusumbua ndg
Elf 10 ndo unawaza kutapeliwa? So stupid mind
Mimi ninatumia pia dstv now pale napokuwa mbali na home au mazingira ambayo siwez kuangalia kwa kutumia tv basi natumia sm
Naomba kwa umaskini wako wa kuona huyo jamaa anaibia watu elf 10 njoo pm nikupe detail ujiunge kwenye yangu bure
Nitakuunga utaangalia mwez mmoja pekee kisha nitakutoa ili tu uondokane na imani haba