Namna ya kupata channels za DStv kwenye simu

Namna ya kupata channels za DStv kwenye simu

Attachments

  • 15811795723971683890251.jpg
    15811795723971683890251.jpg
    530 KB · Views: 24
Lazima uwe unamiliki king'amuzi trna uwe umekilipia. Ndio utaweza kuona hizo channels.
Wadau naomba kujua ikiwa natska kuangalia channel za dstv kupitia simu yangu nifanyeje?

Narejea kwenye startimes naweza kuona channel kupitia app yao niliyo download play store, nimedownload app ya dstv lkn ninachokiona ni channel moja tu ya bure.

Sasa nifanyeje kuona nyingi hata kama ni za kulipia kama vile supersport, halmark, mnet na kadhalika

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta mtu mwenye dstv akupe number za card yake kwenye kingamuzi ndio utakayotumia kupata channel ,pia hizi channel utapata kulingana na ujazo wa kifurushi
Hivi nikiiba namba ya kadi ya mtu ambaye kalipia king'amuzi chake. Si nitaatumia tu fresh? Hapo nazungumzia in case kama bado hajafungua account.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nikiiba namba ya kadi ya mtu ambaye kalipia king'amuzi chake. Si nitaatumia tu fresh?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri jibu! Kwani hata mimi, ninayo hiyo namba. Mwenye nayo nimejaribu kumpa somo, haelewi chochote. Simu yake, pamoja na kuwa ni ya thamani, yeye app zake ni zile za kawaida tu! Zingine, anadai zitaharibu simu!
 
Hivi nikiiba namba ya kadi ya mtu ambaye kalipia king'amuzi chake. Si nitaatumia tu fresh? Hapo nazungumzia in case kama bado hajafungua account.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unajua jina la mwenye account ,lakini mi huona unachotakiwa Ni kujaza namba tu ya account,wao hawatajua umeiba ama umepewa
 
Back
Top Bottom