teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wadau, naomba kujua ikiwa nataka kuangalia Channel za DStv kupitia simu yangu nifanyeje?
Narejea kwenye Startimes naweza kuona channel kupitia app yao niliyodownload Play Store, nimedownload app ya DStv lakini ninachokiona ni channel moja tu ya bure.
Sasa nifanyeje kuona nyingi hata kama ni za kulipia kama vile Supersport, Halmark, M-Net na kadhalika
Sent using Jamii Forums mobile app