secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,617
- 44,500
Noma sana aise!Ndani ya miaka miwili nilioga hazifiki 30
Noma sana aise!Ndani ya miaka miwili nilioga hazifiki 30
Ndio mtaala mpya
Aaaah vijana waende wakasome advance wengi wana mapuuza fulani fulaniNdio mtaala mpya
Bruh me nikimaliza level flani ya elimu huwa sifatilii mzee
Najifunza sana tuu Ila sio huko bhn at least huku juuAh sawa
Ila isiwe chanzo cha kuacha kujifunza