Namna ya kupata 1.3 advance comb za sanyansi

Namna ya kupata 1.3 advance comb za sanyansi

Nakumbuka baada ya kuhamia hapo shuleni kwenu bhn,

Fom V, ilikuwa ni usafi afu saa kumi na moja ilikuwa kusugua upstairs, na downstairs oyaah

Kuna kudeki dining wenyewe mnaita Dihechi 😂 aseeh so poa
Nasikia hata Maputo ya juu na ya chini mlikuwa mnayasugua mno.
 
Kabisa,sizani km kuna computer zakutosha huko mashukeni hasa za serikalini,private najua wanajitahidi sana
Ila mambo ya kitanzania yatabaki kuwa ya Tanzania.
Sisi ni watu wa nyuma daima kwa sababu tumeamua kuwa wa nyuma.
 
Heshimu kila mtu, amka mapema usikose darasa, sikiliza kwa makini unachofundishwa na maliza homework zako zote on time, jiongeze na ChatGPT ili uwe deep zaidi, mfano kama unafundishwa calculus jaribu kujua kwanini unasoma calculus na unaweza kuitumia vipi in real world, lala mapema
 
Back
Top Bottom