Namna ya kupata 1.3 advance comb za sanyansi

Namna ya kupata 1.3 advance comb za sanyansi

Uzi umekua wa salam ngoja nicheke
Mimi sijawai kufeli na o_level government day school wilayani hukoo ndaaani ndio nikaenda shule ya vipaji maalumu.

Mbinu ya kutumia cha kwanza Mungu anae tupa afya njema Cha pili ni resources hapa nimaanisha walimu, material,chakula, peace of mind na kikubwaa AMBITION BECAUSE IS JUST LIKE V8 ENGINE.

SIJAWAI/ KUFELI SIJAWAI KUPENDA KUSHINDWA NI KUJI DEDICATE YOU'RE SELF
😁 Binafsi Mimi sijawai kupambana kupata 1.3 na haikuwa ndoto yangu Mimi nilipambana kuwa qualified kwenye kila level ya ELIMU yangu.

Kwa uchache ntajazia jazia badaeee
 
Kuwa form V ni mateso makali kuliko jehenam kwenye baadhi ya shule.

Dr am 4 real PhD unajua taabu waipatayo form five pindi wanapowasili katika maeneo yao ya kujisomea?
Nakumbuka baada ya kuhamia hapo shuleni kwenu bhn,

Fom V, ilikuwa ni usafi afu saa kumi na moja ilikuwa kusugua upstairs, na downstairs oyaah

Kuna kudeki dining wenyewe mnaita Dihechi 😂 aseeh so poa
 
Kuwa form V ni mateso makali kuliko jehenam kwenye baadhi ya shule.

Dr am 4 real PhD unajua taabu waipatayo form five pindi wanapowasili katika maeneo yao ya kujisomea?
Najua ni zaidi ya gwantanamo bay yaan ni mateso bila chuki.
Nimeishi u Boyzin hatare Sanaa Maisha ya uji na ugali harage ambao ukimpa ugali nguruwe anagoma kulaa
 
Nakumbuka baada ya kuhamia hapo shuleni kwenu bhn,

Fom V, ilikuwa ni usafi afu saa kumi na moja ilikuwa kusugua upstairs, na downstairs oyaah

Kuna kudeki dining wenyewe mnaita Dihechi 😂 aseeh so poa
Kuna sehemu tulikuaga tunachota maji panaitwa """"IKEMEFUNA"""
PALE HUKAI UKIWA MTOTO WA MAMA MIXER BARIDI KALI KAMA TUPO MALANGALI HIGH SCHOOL🤓
 
Doto magari anakunja makompasi ya hela na kaishia la 4, Baba levo kaishia la7 sasa anajenga ghorofa,
 
Back
Top Bottom