Namna ya kuokoa CHADEMA isife...

Angalia usijepata ukichaa kwa kucheka hovyo..... za 2000 zitatumika kueneza sera za wananchi.

mnanunua magari karibia na chaguzi zenu za ndani? acheni janja janja nyiee
 

Ndugu asante sana kwa hii highlight nzuri sana

Historia tamu sana mno..na kwa sababu ni iliishatokea huwa haibadiliki, ishatokea na inabaki kuwa dira, mwalimu wa yajayo
 
kwani CHADEMA nayo mumeiteka?.
 
OK nendeni mkasherehekee ikulu mjipongeze
 
Upinzani utaendelea tu, Tanzania ni nchi ya vyama vingi na CHADEMA inazidi kuimarika. Peoples✌🏾
Ilishindwa kufa ANC ife chadema, hiyo status haiko, the worse it will go underground, na chama kikienda underground hakuna aliye salama tena
 
Mawazo yakoo tuuu mkuu uwee na fikraa chanya dhidi ya wenzakooo usiwe na hasiii
waombee wenzakoo mema ilii na CCM yako iimarikeeeeee Bila CHADEMA imara
Adui muombee njaa ila nimetoa historia ya mfano ya wenzao walivyodhoofika kwa kuitana wasaliti kisa tu watu wamegusia maslahi ya mtu!
 
CHADEMA for life. Nawaambieni CCM kabla ya 2025 itakuwa ishakaribia kufa kabisa! Watu watakuwa washaanza kupata pata akili. Si unajua CCM mtaji wao ni wa watu wajinga wajinga?
 
CHADEMA for life. Nawaambieni CCM kabla ya 2025 itakuwa ishakaribia kufa kabisa! Watu watakuwa washaanza kupata pata akili. Si unajua CCM mtaji wao ni wa watu wajinga wajinga?
Kwanza wabunge wenye ushawishi watatoka chadema kwenda kukiteka chama, let's wait
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…