Namna ya kumsahau rafiki uliomzoea

Namna ya kumsahau rafiki uliomzoea

Kwan alishawah kukutia sound ukakataa
 
Sijaelewa jibu lako samahani nataka nikushauri sema "mimi" ni ke au useme "mimi" ni me.Kama ni ke kwani una hidden interests au niziite personal interests bila yeye kuwa anajua?kama hathamini urafiki wenu achana naye maisha ni mafupi and u deserve mtu ambaye anaona uwepo wako mkiwa pamoja.Let him be,give him space na wewe upate space,wakati mwingine tunafungwa kukosa vilivyobora kwa sababu ya ukaribu na watu fulani,maana watu wengine hufikiri ni watu wetu.Happiness begins with u,ukiwa na furaha unaweza kumfurahisha mtu mwingine na vice versa!
 
Sawa
 
Nikimfanyia hivo siatazidi kujiona atazid kunizarau

Unanifanya nami nihisi na wewe una ajenda zako nyingine.

Anyway, huo ni ushauri wangu...mara nyingi mazungumzo na mhusika hukupa majibu direct kuliko speculations...kwa nini uishi na assumptions wakati maisha yenyewe mafupi?

[HASHTAG]#semaNaye[/HASHTAG]..usione soo!
 
Poa
 
Back
Top Bottom