"Uhandishi"!Aiseee mnatupa tabu na uhandishi wenu embu andika vizuri ueleweke.
Wa jinsi gani, "me" au "ke" tuanzie hapo kwanza.Sana zaidi ya Sana ila yeye anachembechembe za dharau
wewe ni wa kike au kiume tuanzie hapoNifanye nini ili kumsahau rafiki yangu nilio kuwa nampenda namuona kama kaka yangu
Huyo rafiki amekuwa sijui vipi nikimwambia kitu hanijibu nikimshauri hananiangalia tu anijibu Nataka nimpotezee nifanye nini???
Haya subiri atakuita.Niongee nae nini me Nataka yeye ndoaniite
kama huyo rafiki ni wa kiume achana naeMe wakiume kwann?