NAMNA ya Kujikinga na wenye tabia chafu kwenye vyombo vya usafiri

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,833
577063_10151043336878479_108944933_n.jpg
 
Excy are you serioussssss? mijitu miroho kama fisi maji, ujisogeze ili iweje??
Haichelewi kukuchafulia nguo zako, siku hizi hatutembei na kanga.....
lol
Nazjaz wengi huwa wanapenda,we unasogea nyuma naye anakufwata kwa 0713.
 
Last edited by a moderator:
Excy are you serioussssss? mijitu miroho kama fisi maji, ujisogeze ili iweje??
Haichelewi kukuchafulia nguo zako, siku hizi hatutembei na kanga.....
lol

hizo nguo zitachafuka kwa mkandamizo tu? kweli zikichafuka lazima mwenyewe ujiulize ?maana mi nadhani yeye ndo atachafuka na si wewe
 
Hiki kivazi ni rasmi kukivaa wakati ukiwa unasafiri na treni ya Mwakyembe
 
Back
Top Bottom