Namna ya kuhifadhi documents muhimu naomba ushauri

Namna ya kuhifadhi documents muhimu naomba ushauri

nemulo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
1,589
Reaction score
441
Naomba mnifahamishe ni njia gani nzuri ya kuweza kuhifadhi documents muhimu kama vyeti na mikataba zilizopo katika mfumo wa softcopy.

Namaanisha kuhifadhi kwa namna ipi ndio safe zaidi katika computer?
 
  • Njia salama ni kuhifazi "Online"
  • Napendekeza utumie Google Drive >| https://drive.google.com/
  • Kama una unatumia gmail Account utatumia Email na Password hizo hizo.
  • Waweza Download Software ya Google Drive na kuiweka katika PC yako hapa>| https://www.google.com/intl/en/drive/download/
  • Automatic itakuwa ina "sync" faili lolote utakaloweka kwenye Google Drive folder.
 
Nashukuru sana mkuu nitakifanyia kazi hilo Ila naomba pia unifahamishe zaidi,endapo computer yangu itaharibika na kupoteza files

Je nitaweza kuzipata tena kwa kutumia computer nyingine baada ya kazisave online?
 
  • Ndio documents zako zote zitakuwa salama
  • Waweza kuzi download wakati wowote kwa kutumia Simu, Tablet au Computer nyingine yeyote mahala popote.
Pia kuna hii "OneDrive" >| https://onedrive.live.com/about/en-us/ | Ni salama na ni bure kama ilivyo kwa Google Drive.
 
Shukran mkuu,ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom