Namna ya kufuta contact whatsapp.....

Namna ya kufuta contact whatsapp.....

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,884
Kuna micontacts imeng'ang'ania kweny contacts list yangu na sitaki kuiona. Mtu sio rafiki yangu sina namba yake ya simu lakini namuona kwenye list yangu, sitaki.....mwenye kujua jinsi ya kufutilia mbali anielekeze.......nachukia sana........
Na wewe kama unajua hatuna mawasiliano (sio rafiki yangu) na nipo kwenye list yako naomba unifute..........
 
zuia synchronization za social networks, maana ukisync facebook au twitter contacts uwa watu walemajina yanakuja kwenye phonebook yako hence whatsapp contacts,ukiondoa sync na majina yooote yanapotea

njia nyingine: kamaunatumiA android smart phone,nenda sehemu ya majina kisha chagua option ya kuonesha majina ya sim card pekee au phone au ioneshe na mengine
 
preta mi nikiadd no yako ya simu uwe umeniadd namba yangu au hujaniadd huna ujanja lazima tuchat. so hapo tatizo sio kwako tatizo ni kwao. fanya mambo haya.

1. fata ushauri wa c6 hapo juu punguza contact kadri utavyoweza.

2. ukimaliza kuna kitu kinaitwa block watu wote usiowaelewa wablock hawatasumbua tena (badae unaweza kum un-block kama utakua umefanya bahati mbaya
 
Back
Top Bottom