Namna ya kufuta akaunti Twitter

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,605
2,729
Naomba kujua ninavyoweza kufuta account yangu moja twitter au ninavyoweza kublock account mojawapo maana ninazo mbali ila yapili sitaki kuitumia niliifungua nikiwa nje ya nchi sikutaka kutumia account yangu ya ndani.Please mwenye kunielewa anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fungua setting n privacy ya twitter
Kisha click account
Account ikifunguka chini kabisa kuna DEactivate account click hio fata maelezo umemaliza
 
Nimekumbana na tatizo hilo kwenye utumiaji wa akaunti ya twitter tangu juzi inabaki hivo hivo!
Naomba msaada namna ya kutatua
Screenshot_2020-05-08-08-52-34-42.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fungua setting n privacy ya twitter
Kisha click account
Account ikifunguka chini kabisa kuna DEactivate account click hio fata maelezo umemaliza
Mimi account yangu hainiruhusu hata kuingia (kulog in) ukitaka tu kulog in inakudirect moja kwa moja kwenye kuverify phone number through call me then ukichagua call me ndo inakuja hiyo message ya kuwa "sorry failed: please try again later"!
Msaada please ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom